Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Ni nani na nani hao?
no name naming session here. irrelevant. let's go to the crux of the matter.

Gwajima is our whistleblower against academics related criminality in our midst. he's not insane, the media has independently verified these serious claims. give one reason why people shouldn't believe what the cleric is saying..
 
Muthafcuka please...
 
Kwaio ww una support sheria ya fogery si ndio...wanapotokea wananchi ambao wapo tayari kuibua na kpamban na watu wanaovunja sheria za nchi mnataka kuwanyamazisha.......
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Vipi umewahi kwa nguvu hiyohiyo kumshutumu makonda kwa kumdharilisha gwajima kuhusu madawa bila evidence? Vinginevyo wewe ni mwanasheria njaa
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Just as I doubt your understanding capacity. Gwajima is a whistle-blower and it's the duty of responsible authority to take action. Do you understand? Or you are just one of those PhD holders "like bwana yule" who are being used to destabilise the opposition parties in anticipation that he can win?
 
Chief hakika umebainisha.
Sasa ni jukumu la wahusika ku take action.

Tukiremba tutaangamia.
Haiwezekani jukwaa la dini likageuka la siasa.
Kama vipi ajisajili kama chama cha siasa ieleweke
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Unayo PhD ya sheria?
 
kama inakuuma kwa gwajima kuongea na familia yake nenda kashtaki popote unapoona panafaa
lakini ukumbuke pia kutumia vyeti vya mtu ni kosa kisheria vilevile.
 
kipindi cha kuhakiki vyeti mlikuwa wapi kuibua hoja yenu???? Gwajimer ana maslahi gani na madawa ya kulevya? Hoja iliyopo mezani ni madawa ya kulevya kwa nini kumjadili mtu badala ya hoja? Maisha ya kumjadili mtu badala ya hoja inanipa shaka USOMI alionao na wote WANAOMSAPOTI.
 
Huyu ni wa kupoteza ,iwe lesson kwa wengine,anajifanya mjuaji sana kwa utajiri wa ngada.
Magu mbona unaremba kuhusu huyu kiumbe?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acha Gwajima aongee na familia yake, wewe inakukereketa nini? Wengne wameachishwa kazi kwa vyeti feki halafu leo mtu kwa kuwa kabila lake anamchunia, Gwajima anataka haki itendeke
Exactly. Wao si walijitangaza watetezi wa umma? Mbona kuna double standard? It's no wonder mwalimu alikuwa anapiga baadhi ya makabila kuwa ma nanihii. Ngoja TAL aichukue upresidwaa wa tls mtakomaje?
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Freedom of speech ndugu Makonbda ndiye aende mahakamani kama amekwanzwa! wanasheria wajinga wajinga
 
Fungua kanisa uanze utumishi, kumbe unajua neno la Mungu linàhubirijwe kwann ulalamike. Akitaja Daud ujue anatoa mfano wa kwenye Biblia maana Daud IPO, ukiona ametaja Makonda tambua anatoa mfano halisia na matendo yaliyopo....ili watu waelewe jinsi gani neno kweli lilivyo na nguvu. Ile ni kawaida, tuwazoee watumishi pamoja na mifano wanayoitoa. Mbona mahubiri mazuri tu, hadi maombi yalifanyika, au tumezoeshwa mahubiri yanayohusu kutoa tu!
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
myie mlipoenda kumchafuakwenye vyombo vya habari ulitegemea nini?? alafu kuna vitu wewe unavioana ni vidogo kwa kwa kuwa huna Jina-hufahamiki,fahamika uone! mtu ajeakuchafue ndio utajua uchungu unao wapata.

chukulia mfano mtaani unapokaa ukasikia kwa mtu kuwa jirani yako anasambaza maneno fulani ya uongo kukuhusu wewe na hapo mtaani labda ni mtu wa kuheshimika=asira na uchungu utakaoupata ndio huo huo anaupata gwajima
 
Na ww fungua lako!

Huyo BASHITE hadi atoe vyeti. Hata mmasafishe vp bila CHETI. NO TO BASHITE.

KAGUSHI VYETI AFU ANA ALIKWA MGENI RASMI GRADUATION!! BONGO BHANA. ANA WAHASA WAHITIMU WAKAFOJI MAMBO? AU WAFANYE SHORTCUTS.
Kwasasa hana hata Majigambo. Dharau na matusi kwa watu FULL STOP.
 
Back
Top Bottom