Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Hii nchi ina wapumbavu wengi sana,kanisa lifungwe kwa lipi?.
Yeye ni mchungaji unataka akaongelee mahala gani?.
Unataka akapande majukwaani kama wana siasa?.
Kwa nini hujasema akamatwe ili atoe ushahidi mbele ya mahakama?.
Inasemekana mheshimiwa hana cheti,Wewe unashabikia watu wasio kuwa na vyeti kuendelea na kazi na hali kuna watu wana vyeti wamejaa mitaani?.
Mtoa hoja una roho ya panzi,kuku,chura,mbuzi,paka au binadamu?.
TUNAHITAJI VYETI VYA MHESHIMIWA NA SIYO BLABLA.
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?






 
Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Kama unatetea kwa sababu ya ukabila sawa ila nachokiona hapa ni double standards na haihusiani na dawa za kulevya anatuhuma kama walivyo watu wengine unawazungumziaje walimu na watu wengine walioachishwa kazi na vifungo juu kwa tuhuma hizo hizo?
 
Kama unatetea kwa sababu ya ukabila sawa ila nachokiona hapa ni double standards na haihusiani na dawa za kulevya anatuhuma kama walivyo watu wengine unawazungumziaje walimu na watu wengine walioachishwa kazi na vifungo juu kwa tuhuma hizo hizo?
Namtetea nani kwa sababu ya ukabila?

Gwajima? Makonda?
 
Hiyo ni juu yake.

Mimi siwezi kumpangia cha kujibu wala kupuuza.
Achana nao mkuu Hao washatupiwa majini na Mchungaji fake. Hata ukiwaelewesha mpaka kesho hawataukuelewa.. Uzuri ni kwamba Kwa jinsi maisha yanayoendelea watanyamaza wenyewe hili suala wamelikomalia Ila litakuja kuzimwa ndani ya week moja tu hutaskia tena hii habari ya Wao kudai CHETI
 
Ukweli hubaki pale pale yeye ni mtu wa Mungu sasa vitu vya kijinga kila siku anahubiri, na wale anaowahubiri wasifikiri yeye mchungaji anapenda kuwahubiri hayo yote lakini anachokifanya hili limetokea akaamua atumie nafsi hyo kupiga pesa kanisani maana wapo ambao sio waumini wake but wanaenda ili kusikia ujinga wake kwahyo kama una mwamini Mungu mwamini kweli kweli na umuombe akufunue ujue wachungaji wapi ni sahihi na sio sahihi tofauti na hapo tutaendelea kumaliza pesa bure kwa kuwapelekea hao wajiitao wachungaji huku pia tunalalamika eti njaa mara pesa hakuna wakati tunapeleka sadaka sehm isiyo sahh
 
Back
Top Bottom