Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Wala usijali mkuu, ngoma ikivuma saaaaana mwisho hupasuka bwaaaaaa! yupo wapi Kakobe? unajua wakishajua huduma zao ni za ubabaishaji na zinaelekea ukingoni na watu wameshaanza kushtuka kuwa kuna usanii na mchanganyo mchanganyo ambao wanafanya plus kuzini na kuzaa na wake za watu kwa jeuri ya pesa na madhabahu isiyoendana na Neno la Mungu, UTAONA WANAANZA KUYATITIMBUA NA KUYATINYANGA MAKSUDI KWA KUVUNJA SHERIA ILI WAKIMBILE NJE YA NCHI AMBAKO NDIKO WALIKOWEKEZA NA KUENDELEA KULA BATA HUKU WAKIACHA KONDOO WAO WAKITAPATAPA!
Mwambie bashite aweke vyeti hadharani. Huyo ni a mere whistle-blower
 
Kwani wewe inakuma nini akihubiri kuhusu makonda au na wewe unahusika Nini

Maana waumini wake kimya wala hawajasema lolote wewe ambae sidhan ata kama ni muumin wake ndo kidomodomo
 
Kuna kipindi fulani startv mwaka 2015 alipambanishwa jamaa mmoja wa ccm sasa hivi ni mkuu wa wilaya moja maarufu Dsm na Jamaa mwingne wakili wa mahakama kuu na ni mwanachama wa chadema,aisee ndio utajua kwanini Uvccm wanamtetea mwenzao wa vyeti feki. Yaani yule jamaa (RC) eti kasomea sheria, yaani mweupe kuanzia ndani mpaka ngozi yake.
Like father like son
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mkuu, ni nini tafsiri ya neno la Mungu? Je, mhubiri wa neno la Mungu anapoungana na serikali katika vita dhidi ya "hewa hewa" kila mahali, kama mkuu wa nchi anavyosisitiza, kisha huyo mhubiri akatumia madhabahu kukemea maovu hayo na kuionyesha "hewa" serikali, anakuwa amefanya uchochezi? Unaweza kutusaidia pia "ingredients" za kosa la uchochezi? Biblia ambayo ndio msingi wa huduma ya Gwajima inabainisha kuwa, waovu wakiwemo wachawi, walikemewa kwa kutajwa majina. Hivyo basi, kwa kuwa mwongozo wa huduma ya Gwajima ni Biblia, kutaja majina ndio huduma iliyo sahihi kwake!
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Anaongea na familia he has to clean his turnished image
 
Acha Gwajima aongee na familia yake, wewe inakukereketa nini? Wengne wameachishwa kazi kwa vyeti feki halafu leo mtu kwa kuwa kabila lake anamchunia, Gwajima anataka haki itendeke
Gwajima hakujasajiri taasisi ya kulea familia alisajiri taasisi ya kuendesha shughuli za kiimani (dini). Hapa anakosea haijalishi kama Makonda alikosea. Kosa moja halihalalishi kosa jingine.
 
Akishitakiwa mawakili wake watataka walalamikaji kuthibitisha kama alichoongea ni uongo, yaani yakuna forgery ya vyeti. Tofauti na hapo hakuna kesi. Kumbuka yeye aliongelea hayo majina kujisafisha baada ya kuchokozwa. Hivi wewe ni askofu inaambiwa unauza madawa halafu unapopanda madhabahuni unaanza tu kuwaambia waumini wako kuwa waache uzinzi nk, watakusikiliza? Jiongeze
Wako watu ambao thinking capacity zao ni bashite na wala hawaelewi maana ya kumpaka matope tena kwenye media na baadaye ikadhihirika ni uongo. Tuwaombee tu kwa Mungu basi
 
Mleta mada kweli wewe ulipotoka siku nyingi maana aaah..Ebu andika makala kuhusu Pombe anavyovunja katiba yetu tukufu
 
Mleta mada kweli wewe ulipotoka siku nyingi maana aaah..Ebu andika makala kuhusu Pombe anavyovunja katiba yetu tukufu
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Acha ujinga kwani ww hukuona boss wako Daud aliacha kazi ya kuongoza mkoa akajikita kwenye kumbakia kesi, yaani hutaki Gwajma ajihami? Kitendo alichofanyiwa Gwajma kwako ni kizuri? Ukitaka akae kiimya wakati kadhalilishwa sana hao waumini wake waliteswa na unyanyasaji wa makonda unataka aacha kuwambia Ukweli? acha hizo Gwajma anayo haki ya kujihami atawaelezea waumini wake chochote kinschomhusu wewe kama unaona kero nenda kwa makonda kamkataze aache wivu, chuki, kukomoana na kuwabambikia watu kesi kwanza ndipo uje na uzushi wako hapa JF
 
Mkuu kwahiyo The Registrar of Society ampangie mtumish cha kuhubiri kwenye madhabahu kanisani kwake au kwenye taasisi yake ya kidini kila jumapili? Mhhhh. naona kuna hoja nzuri ulitaka kuitoa ukajikuta umeiacha mkuu moma2k, hebu ikumbuke vizuri. Nadhani wakisha sajili hawa wapangii wahubiri nini kwenye madhabahu unless waumini wake wakalalamike au apatikane mlalamikaji juu ya suala hilo in a given society.

Pia wakuu wa dini wana role ya kukemea mmonyoko wa maadili, moral behaviours & bad ethics katika jamii na ndiyo maana wapo wakuu wanchi wanao enda misikitini na makanisani wakisema niombeeni. Tumsihi Askofu Gwajima sasa basi jamii imeelewa na tuombe yaliyosemwa yapate majibu kama ni kweli ama siyo kweli. Sio ukimya huu halafu unakimbilia eti umshitaki mtu kwa kuelezea waumini wake kilichomtokea alipotiwa nguvuni. Unataka waumini wake wamueleweje? wakati na wenyewe walienda kushinda pale chini na njaa wakimsubiri? Think twice mkuu.....Mungu ibariki Tanzania..
Watu wa namna hiyo ni lazima wawe ccm ndo maana wanataka kuingilia uchaguzi wa tls. Wanataka kuweka mtu wao ili wanapokanyaga katiba awapongeze badala ya kuwakemea
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Ikiwauma mnaanza kutafuta uchocholo wa kutokea! Tunachokitaka ni Bashite kuleta vyeti! Mh.Rais dar yetu haijawahi ongozwa na kilaza.
 
Mleta mada kweli wewe ulipotoka siku nyingi maana aaah..Ebu andika makala kuhusu Pombe anavyovunja katiba yetu tukufu
Mleta mada ni mshamba sana, yaani vitendo vya makonda kuwakomoa watu kuwabambikia kesi kwake ni Ruksa, lakini Gwajma akijihami kujitetea kaamu kuleta mada ya kijinga jinga.
 
Nnachoshindwa kuelewa kama waliweza kumtaja kuwa anahusika na madawa ya kulevya wanashindwa nn kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mkuu wa mkoa. Kwani ugumu upo wap had wanashindwa. Waanze kwanza kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mtu alafu na ikithibitika ni kweli kuwa anasingizia na kumchafua mtu kupitia taasisi yake nadhani ndio itakuwa sahihi kumfungia kazi yake anayofanya. Ila hapo kwenye kuthibitisha anayosema nadhani ndio wanapaogopa
 
Back
Top Bottom