Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Kweli angelikuwa na akili badala ya kupiga kelele madhabahuni angelikwenda polisi kufungua jalada la uchunguzi......yy amejifanyiza kuwa mpelelezi prosecutor na pia kuwa hakimu..thats stupid
Nina mashaka kama masikio yako ni mazima.Ulimsikia vizuri? Kama wewe ulimsikia basi nenda kamwambie kamanda Siro kwamba yupo mtu anatukana madhabahuni ili amkamate
 
Gwaji kabonyeza kitufe huko Mapovu on free flowing mode tuu.... Hahaha!! Mi sipigani hii vita asee maana sijaelewa bado nashiriki kumnufaisha nani

Gwaji eeh!! Fanya kama unabonyeza tena kitufe....
Kwa hisani ya bwana yule ((wahuni wote peponi))
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Wewe Bashite tuwekee vyeti hayo yote yataisha
 
Ni kweli anaweza kuwa jela endapo mtuhumiwa atatolea maelezo sahihi ya utofauti wa majina pamoja na kuweka vyeti (hata copy) mezani!
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Huyo Makondakta alivyo mchafua mchungaji wetu hakujua kuwa anatenda madhambi?wacha kujitoa akili
 
Ukitaka kujua unafiki wa gwajima muulize Mama josephine Slaa atakueleza jamaa alivyo wa hovyo.
 
Haya mnayoleta hayawezi kubadirisha ukweli kuwa kuna RC wa Mkoa mkubwa hapa nchini anatumia vyeti vya magumashi.

Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
 
Gwajima amesema mkimchokoza tu wiki hii anaendelea na tuko wengi ambao tuko tayari kuchanga shilingi 1,000 kila mtu kwa kesi yeyote itakayo mkabili.
Mimi nina familia ya watu 20 hivyo kila mtu kwa sh 1000 ni sh 20000 kwa kaya yangu
 
Anatakiwa afutiwe kabisa usajili wa kanisa lake na afunguliwe mashitaka ya uchochezi
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.

Wewe nawe ni walewale vilaza tu.
 
Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Wewe ni bongolala,nilidhani unatumia akili kumbe najidanganya yaani unawatukana waumini kuwa ni wajinga kisa kumtetea makonda?hivi unajua anawafuasi wangapi?pumbavu kabisa
 
Wewe ni bongolala,nilidhani unatumia akili kumbe najidanganya yaani unawatukana waumini kuwa ni wajinga kisa kumtetea makonda?hivi unajua anawafuasi wangapi?pumbavu kabisa

Kwa hilo povu lazima tu utakuwa msukule wa Gwajima wewe.
 
We mjinga sana, kuhubiri kanisani kunaendana na kukemea maovu, kuforge vyeti ni ovu na dhambi sasa unategemea nani akemee. Suluhisho hapa aweke vyeti vyake wazi.
Watu hawajui ni kwa nini tumekwama. Watumishi wa Mungu tumefika mahali tunaogopa kukemea dhambi. Kwa kupewa kitu kidogo tumeacha kumtumikia Mungu badala yake tunawatumikia watawala ambao humwabudu mungu bahari. Tumeacha kufuata mfano wa stephano aliyekemea mpaka kufa kwa kupigwa mawe. Lakini in appreciation for the faith Jesus Christ stood up to receive him
 
Gwajima huwa hasemi Makonda Makonda Bali husema Bwana yule au Daudi Bashite! Akichomwa mkuki Daudi Bashite halafu damu inamwagika kwa Makonda, na maumivu yanampata Makonda huo ni ushahidi kuwa Daudi Bashite ndiye Makonda na ndiye aliyezungusha kwa mujibu wa mtoa Uzi!
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Kama wanachelewa kuchukua hatua unategemea nini? Unafikiri kusingiziwa issue ya dawa za kulevya ni mchezo? Ungekuwa wewe ungechekelea siyo ? Pole sana Bro.
 
Hakuna mwanasheria mjinga kama wewe unaeandika ukiwa tumbo wazi unatetea mtu mwenye kosa la jinai..useless
It appears dogo kaja na mzigo kutoka south anagawa kama njugu ndo maana watetezi wa huo upuuzi wameongezeka leo
 
Back
Top Bottom