Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?