Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Acha mtumishi wa mungu awanyooshe wezi wa vyeti kama Makonda na wanaomtetea wengi nati zimelegea
Mahubiri yake ya Jana yameniacha hoi na siamini Kama police wako serious kwani huyo mchungaji ana sumu mbaya ambayo nyumba za ibada hazijawahi ku practice tangu uhuru acha ugani wake kanisani anaingilia privacy to the extent angekuwa nchi za watu jasho lingemtoka. Kwa nchi wastaarabu hata kutaja tu details zangu jina na address hadharani nitadeal na wewe perpendicular sembuse anavyopakua details za watu in public kweli? Do we have orders up there ? Tunaenda pabayaMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
First Grade Pumba.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mahubiri yake ya Jana yameniacha hoi na siamini Kama police wako serious kwani huyo mchungaji ana sumu mbaya ambayo nyumba za ibada hazijawahi ku practice tangu uhuru acha ugani wake kanisani anaingilia privacy to the extent angekuwa nchi za watu jasho lingemtoka. Kwa nchi wastaarabu hata kutaja tu details zangu jina na address hadharani nitadeal na wewe perpendicular sembuse anavyopakua details za watu in public kweli? Do we have orders up there ? Tunaenda pabaya
Ujinga wa mtu ndio akili yake.Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Neno la mungu linakataza kugushi.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Na tunam support hasa.Tena wajinga hasa
Hapa ndo kipimo cha Jamii inayopelekwa kwenye uchumi wa kiti mkuu we are stil far behindMjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Wala usijali mkuu, ngoma ikivuma saaaaana mwisho hupasuka bwaaaaaa! yupo wapi Kakobe? unajua wakishajua huduma zao ni za ubabaishaji na zinaelekea ukingoni na watu wameshaanza kushtuka kuwa kuna usanii na mchanganyo mchanganyo ambao wanafanya plus kuzini na kuzaa na wake za watu kwa jeuri ya pesa na madhabahu isiyoendana na Neno la Mungu, UTAONA WANAANZA KUYATITIMBUA NA KUYATINYANGA MAKSUDI KWA KUVUNJA SHERIA ILI WAKIMBILE NJE YA NCHI AMBAKO NDIKO WALIKOWEKEZA NA KUENDELEA KULA BATA HUKU WAKIACHA KONDOO WAO WAKITAPATAPA!Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Ipo haja ya kumfuatilia kwa undani huyo mleta uzi, ana vi element vya Bashiteism.UWANASHERIA WAKO UTAKUA NIWAKIBASHITE, hakuna mwanasheria anayeweza kuandika upuuzi uliouleta hapa.
We osha vyombo vya wazungu habari za vyeti tuachie tunaolipa kodi. Kwanza Kigwangala ana kazi na wewe...salubeti!Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Haya yote anasababisha baba J.Mahubiri yake ya Jana yameniacha hoi na siamini Kama police wako serious kwani huyo mchungaji ana sumu mbaya ambayo nyumba za ibada hazijawahi ku practice tangu uhuru acha ugani wake kanisani anaingilia privacy to the extent angekuwa nchi za watu jasho lingemtoka. Kwa nchi wastaarabu hata kutaja tu details zangu jina na address hadharani nitadeal na wewe perpendicular sembuse anavyopakua details za watu in public kweli? Do we have orders up there ? Tunaenda pabaya