Homeportlakini kma vyeti viko si vitolewe???km ni mchapakazi hata wale wanafunzi wa chuo walikuwa wasomi wangeachwa na wao mhona walifukuzwa siku hiyo hiyo tena qengine walilala stand......sasa huyu si alete vyeti jmnnnn
Homeportlakini kma vyeti viko si vitolewe???km ni mchapakazi hata wale wanafunzi wa chuo walikuwa wasomi wangeachwa na wao mhona walifukuzwa siku hiyo hiyo tena qengine walilala stand......sasa huyu si alete vyeti jmnnnn
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Kila aliyeua kwa upanga atauliwa kwa upanga! Kama alitegemea kuishi pale kwa unafiki hakika Mungu amemuumbua kwa unafiki wake.Bashite wewe sio makonda,jina la makonda umelitoa wapi?Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Gwajma yupo sahihi kujihami kwani alichokozwa na makonda, mleta mada kala vicent vya makonda kaamua kujitoa fahamu kaja na hiki kituko.Ikiwauma mnaanza kutafuta uchocholo wa kutokea! Tunachokitaka ni Bashite kuleta vyeti! Mh.Rais dar yetu haijawahi ongozwa na kilaza.
Nnachoshindwa kuelewa kama waliweza kumtaja kuwa anahusika na madawa ya kulevya wanashindwa nn kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mkuu wa mkoa. Kwani ugumu upo wap had wanashindwa. Waanze kwanza kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mtu alafu na ikithibitika ni kweli kuwa anasingizia na kumchafua mtu kupitia taasisi yake nadhani ndio itakuwa sahihi kumfungia kazi yake anayofanya. Ila hapo kwenye kuthibitisha anayosema nadhani ndio wanapaogopa
Ungeelezea na bashite alipata wapi mamlaka ya kutajataja watu bila ushahidi ilhali kuna kamati ya kupambana na dawa za kulevyaMjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
wewe mwanasheria!Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Unajua njia rahisi ya kumkomesha jamaa huyu anayejiita mtumishi wa Mungu? Tunapeleka auditors. Kisheria madhehebu yote ya kidini na taasisi za kiraia zinatakiwa kufanyiwa Audit. Nahisi Gwajima anatumia pesa za kondoo wake kama ni mali yake.Gwajima amesema mkimchokoza tu wiki hii anaendelea na tuko wengi ambao tuko tayari kuchanga shilingi 1,000 kila mtu kwa kesi yeyote itakayo mkabili.
Yeye anasaidia upelelezi tu. Polisi sasa wafanye kumalizia. Inamaana polisi hawayasikii haya? Mbona wako kimya? Kamata mwizi was vyeti men.Kweli angelikuwa na akili badala ya kupiga kelele madhabahuni angelikwenda polisi kufungua jalada la uchunguzi......yy amejifanyiza kuwa mpelelezi prosecutor na pia kuwa hakimu..thats stupid
mkuu toeni tu hvyo vyeti
Mleta mada ni mshamba pia ni mjinga sana kaamua kujitoa fahamu yaani yy ameona Unyama aliofanyiwa Gwajma na makonda ni sawa, lakini Gwajma akijihami imekuwa nongwa? Kitendo alichofanyiwa Gwajma ni Kitendo cha udhalilishaji mkubwa lazima aowaonyeshe watanzania ili iwe fundisho kwa wakuu wa mikoa wenye Tabia mbovu kama za makonda.Ungeelezea na bashite alipata wapi mamlaka ya kutajataja watu bila ushahidi ilhali kuna kamati ya kupambana na dawa za kulevya
Daudi Albert Bashite.Anatafuta kuongeza waumini, ni kaona jinsi wananchi wengi wanapenda udaku na uongo.
Mwambie mkuu sijuw hata hyo sheria alisomea wpWe mjinga sana, kuhubiri kanisani kunaendana na kukemea maovu, kuforge vyeti ni ovu na dhambi sasa unategemea nani akemee. Suluhisho hapa aweke vyeti vyake wazi.
Kwanza anza na kuhakiki mali za makonda na GSM wakwepa kodi, kisha fanya hivyo kwa makanisa yote mpaka kwa Pengo, huoni Aibu kuwa makonda alimchokoza Gwajma ndipo akaamua kujihami sasa unaendelea kubuni vitu vya kumkomoa? Acha hizo nenda kamkataze makonda boss wako aache kuwabambikia kesi watu kwa chuki na wivu.Unajua njia rahisi ya kumkomesha jamaa huyu anayejiita mtumishi wa Mungu? Tunapeleka auditors. Kisheria madhehebu yote ya kidini na taasisi za kiraia zinatakiwa kufanyiwa Audit. Nahisi Gwajima anatumia pesa za kondoo wake kama ni mali yake.
Hatafika mbali, si umemuona Kakobe?
Ukimwona member mzoefu hajielewi ujue anachumia tumbo,unasikitisha sanaGwajima kawachota walio wajinga tu.
kwa ufupi taasisi ya gwajima sio kanisa ila inafanya siasa na mambo mengine ambayo uchunguzi unahitajika ili kuyatambua. jinsi anavyoendesha kile kinachoitwa ibada mtu anaweza kuamini ni mvuta bangi.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Kwani hamna TAasisi ambayo inahusika na madawa ya kulevya?[/QUOTE
Ipo yangu zamani na iliundwa chini ya sheria ya Bunge. Kick tuu utoke vipi. Mateja Na wauza unga wamejaa mikoa yote. Mateja wa viroba, banana, gongo, ulanzi, Bangi, Sigara, unga, beer, wanzuki, ugoro Na vilevi vingine. Wapiga debe ndio usiseme!
Makonda alikurupuka akaanza chuki za kutaja taja watu hovyo hovyo kwenye Tv nadhani alifikiri watakaa kimya kwa kumuogopa sasa wameamua kujitetea kwa kuanika mapungufu ya makonda mleta mada kaamua kubuni ujinga ujinga akidhani utamsaidia kumziba mdomo Gwajma, ww mleta mada nenda kamkataze makonda aache kuwabambikia watu kesi kabla ya kuwalaumu wanaojitetea kwa Uonevu wa Daud.Ukimuona mtu yeyote anaongelea Vyeti vya Makonda , mtu huyu anaroho ya SHETANI.