Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Kufichua uovu sio uhalifu
Akishitakiwa mawakili wake watataka walalamikaji kuthibitisha kama alichoongea ni uongo, yaani yakuna forgery ya vyeti. Tofauti na hapo hakuna kesi. Kumbuka yeye aliongelea hayo majina kujisafisha baada ya kuchokozwa. Hivi wewe ni askofu inaambiwa unauza madawa halafu unapopanda madhabahuni unaanza tu kuwaambia waumini wako kuwa waache uzinzi nk, watakusikiliza? JiongezeMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Utamshitaki mwendawazimu kwa sheria namba ngapi?Aliyeanzisha huu uzi nae achukuliwe hatua za kisheria.
Haya subiri.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
hiyo ndo inaitwa single touch double manifastation mkichokoza aa mkipewa vidonge ooooo baba hawa wachokoz ......hapa v ....... tu la sivo elim ipigwe marufuku.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mkuu kwahiyo The Registrar of Society ampangie mtumish cha kuhubiri kwenye madhabahu kanisani kwake au kwenye taasisi yake ya kidini kila jumapili? Mhhhh. naona kuna hoja nzuri ulitaka kuitoa ukajikuta umeiacha mkuu moma2k, hebu ikumbuke vizuri. Nadhani wakisha sajili hawa wapangii wahubiri nini kwenye madhabahu unless waumini wake wakalalamike au apatikane mlalamikaji juu ya suala hilo in a given society.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Labda ameathirika na vimelea vya ugonjwa hatari wa BashiteismUtamshitaki mwendawazimu kwa sheria namba ngapi?
Labda tu tumuulize, ana vyeti vya daktari kwamba anaugua kichwani au hata uchizi wake nao kanjanjaism?
Daudi Bashite wanted to run but had no brakes! What do you expect? Wacha maneno weka vyeti mezani; period!Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
We unatoa taarifa za kwenye vijiwe vya ugolo.kwa taarifa yako kakobe yuko next level.sasa hivi anahubiri kimataifa.kwa wewe ukiona Mtumishi ajitangazi kwenye media unajua huduma yake imekufa your are lost.Wala usijali mkuu, ngoma ikivuma saaaaana mwisho hupasuka bwaaaaaa! yupo wapi Kakobe? unajua wakishajua huduma zao ni za ubabaishaji na zinaelekea ukingoni na watu wameshaanza kushtuka kuwa kuna usanii na mchanganyo mchanganyo ambao wanafanya plus kuzini na kuzaa na wake za watu kwa jeuri ya pesa na madhabahu isiyoendana na Neno la Mungu, UTAONA WANAANZA KUYATITIMBUA NA KUYATINYANGA MAKSUDI KWA KUVUNJA SHERIA ILI WAKIMBILE NJE YA NCHI AMBAKO NDIKO WALIKOWEKEZA NA KUENDELEA KULA BATA HUKU WAKIACHA KONDOO WAO WAKITAPATAPA!
mkuu, kwa hiyo ina maana mliochotwa na Bashite (form 4 failure) ndiyo werevu, siyo? maana hii ndiyo context yenyewe ya hii topic.Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Kama wengine walifukuzwa kazi sababu ya vyeti huyu kwani gwajima hana vyeti, basi makonda akabadili pa gwjimaMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
mkuu, kwa hiyo ina maana mliochotwa na Bashite (form 4 failure) ndiyo werevu, siyo? maana hii ndiyo context yenyewe ya hii topic.
ambaye hajachotwa na Gwajima of course..Nani kachotwa na Bashite?
ambaye hajachotwa na Gwajima of course..
Kiingereza cha nn weka vyeti mezani yaishe unalalamika nini?Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Which is which? Achukuliwe hatua au aambiwe stop?Be specific. I wish you could be IGPMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Wajinga kama wewe ulochotwa na Daud?Gwajima kawachota walio wajinga tu.