Naanza kuona ukweli wa hayo usemayo miaka ya 2009 nilifungua biashara ya kuuza Gas za kupikia wakati ninaanza biashara ilikuwa nzuri sana nilianza na Mitungi 30 ikawa namaliza ndani ya siku 1 au 2 na ikafikia kipindi ili nisifukuze wateja wangu ilinilazimu nikiishiwa niwe nachukua Gas kwa wenzangu kwa bei ya reja reja wakati nasubiri Suppliers aniletee mzigo.
Mambo yaliharibika baada ya siku moja asubuhi wakati dada anaenda kufungua duka alikuta Kinyesi cha haja cha mtu mzima katikati ya mlango wa duka , toka hapo biashara ikawa ngumu na ndani ya miezi 3 nikafunga kabisa.
Tumia option hizi tatuImetokea umeona kinyesi chenye usiano na mambo ha kishilikina mfano iwe nyumbani kwako au ofisin unatakiwa ufanyaje?
Mkuu umenikumbusha miaka ya zamani Kule mwanza milima ya mawe,watu walijenga nyumba zao juu mlimani lakini kutokana na mazingira ya mawe huwezi chimba choo hata mita moja kwenda chini.Tumia option hizi tatu
Kimwagie jivu au
Kimwagie chumvi ama
Kimwagie mkojo
Na kama hakiko sehemu hatarishi kipige moto
Mkuu umenikumbusha miaka ya zamani Kule mwanza milima ya mawe,watu walijenga nyumba zao juu mlimani lakini kutokana na mazingira ya mawe huwezi chimba choo hata mita moja kwenda chini.
So wakawa wanatumia zile flying toilet,yani mtu anajisaidia kwenye mfuko Wa Rambo akimaliza anaufunga vizuri,kisha anaanza kuuzungusha mithili ya kombeo LA Daudi wakati anamuua Goliath, akiliachia linaenda kutua kwenye bati ya nyumba iliyoko buzuruga stand.
Tuliokuwa nyumba za chini kabisa tulicheza na vinyesi sana,aisee Leo umenifungua maskio kumbe ndo mana mpaka Leo msoto auishi dah.

pole sana...kinyesi ni uchafu mbaya sana ndio maana hata uhifadhi wake ni wa gharama...ni mpaka kioze ndio huwa na faida ya samadi kukuzia mimea..kwa baadhi ya imani wanamchukulia nguruwe kama najisi kwakuwa huyu hata kinyesi anakula na kumbuka ndo mnyama pekee aliyeongiliwa na mapepoHawa jamaa wanaotengeneza mitungi ya ardhini ya bio gas wanaweza kutengeneza gas kwa kutumia kinyesi cha binadam pia,Ila hapa kwangu ntandelea kutumia manjis,mihan,au oryx.pole sana...kinyesi ni uchafu mbaya sana ndio maana hata uhifadhi wake ni wa gharama...ni mpaka kioze ndio huwa na faida ya samadi kukuzia mimea..kwa baadhi ya imani wanamchukulia nguruwe kama najisi kwakuwa huyu hata kinyesi anakula na kumbuka ndo mnyama pekee aliyeongiliwa na mapepo
![]()
![]()
usiweke picha tafadhali
UlibumaUle mradi wa Bill Gates wa kurecycle maji ya chooni kuwa ya kunywa uliishia wapi?View attachment 1717779
Kwa sababu nnya ni gunduUlibuma
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa.
Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha lakini. ! ni makapi ya chochote ulichokula, yani mwili umeshachukua vyote vya maana kwahiyo hicho kilichobaki ni uchafu
Kinyesi ni kitu kingine kabisa licha ya uvundo wake lakini ukikikanyaga lazima uchechemee kama mtu aliyechomwa na mwiba..yani unapata hisia fulani mbaya kabisa akilini ukiwa umekikanyaga....na ndio maana hakuna nyumba inayokamilika bila kuwa na choo ya kuhifadhia hiyo kitu
Ukisikia mtu ana kimavi, muonee huruma maana ni mwendo wa mikosi mwanzo mwisho
Sasa hebu pata picha hii
Unaamka asubuhi na kukuta barazani kwako au getini kuna bonge la kimba! Unajiuliza na kutafakari mengi lakini unapuuzia na kufanya maarifa ya kusafirisha
Hii inaweza kutokea hata zaidi ya mara tatu na kudhani ni watu wakorofi au pengine wavuta bhangi....pole sana ni heri wawe ni hao kuliko kama ni mambo ya kishirikina..kwakuwa baada ya hapo kila kitu kitaanza kuyumba, vile watu wanavyokiogopa kinyesi na kujitenga nacho ndio hivyo hivyo nawe utakuwa
Ni mambo mabaya ya kishetani huja na madawa na manuizi ya uharibifu mbaya...na akimaliza huseta ukuta kwa makalio yake
Naamini wengi walishakutana na jambo kama hili kwa namna moja au nyingine na baada ya hapo ukaanza kukutana na milima na mabonde, hutakiwi kutafuta waganga wa kienyeji. ....kwa imani yako fanya utaratibu wa ibada ya kutakasa makazi. ..hiyo ndio dawa pekee ya kuweza kukuokoa na hili janga
NB: ushauri wa bure
Kama wewe si mpenzi wa hizi mada nakushauri upite kimya

Dah pole sana shamba kama bado lipo niambie tulifanyie maarifa ...BTW hii imenichekesha sanaMiaka 5 nyuma nilinunuwa eneo la heka moja huko Kibaha.
Wakati nanunuwa wana kijiji wa pale walizoea kukatisha kati kati ya Shamba langu ikawa ndy njia na magari hupita humo.
Niliponunuwa lile Shamba,,nikaua ile njia nikatoboa njia ingine pembeni ya Shamba lile..
Kuruhusu magari na watu wapite pembeni ya Shamba langu.
Kumbe kuna vingunge wa eneo lile wakiongozwa na kibibi fulani,,
Walikuwa hawafurahishwi kwa kufungwa njie ya zamani,,,
Na mimi kuanzisha njia ingine pembeni ya Shamba langu..
Cha kushangaza ni kwamba ,,
hata ile barabara mpya ninayoichonga,
bado ni sehemu ya eneo langu ,,
Ni kama miguu 3 hivi nimepunguza eneo langu mm,ili watu wapite huko pembeni.
Nikaigharamia kwa kulima na kuisawazisha barabara ile,,
Ili magari yapite upande wa pembeni wa Shamba langu..
Niliagana na wale vibarua waendelee kutengeneza njia,,
Ili kesho yake nije nirekebishe mipaka ya nguzo za mpakani vizuri.
Kesho yake wale vibarua hawakutokea,,,nilishangaa sn maana hata advance walipokea kiasi.
ikabidi nitafute vijana wengine kumalizia kazi.
Nilifika eneo la Shamba,,nikakaguwa eneo lote,
Nilirudi kwenye eneo la barabara mpya niangalie pamefikia wapi.
Mkuu nilikutana na kinyesi kikubwa sana.
Kwa kweli nilishtuka sn,,
kilichonishtua zaidi ni kuona shimo kumbwa mbele kidogo ya kile kinyesi.
Ikanipelekea kugunduwa aliyefanya vile ni mwanamke..
Maana yake alijisaidia ,,,halafu akakojowa pale chini na kuacha shimo kubwa hata nikahisi kumtamani kingono.
Inaonyesha huyu Mchawi aliyejisaidia hapa alikuwa bado binti mbichi sana,,
Sio kwa ukubwa wa shimo lile..
Nikajiuliza maswali bila majibu,,,
Sasa why mwanamke aje kunya hapa ?
Tena njiani?
Ktk hali ya kawaida nikaanza kuhisi ushirikina,,,
Lakini nilipuuza nikaendelea na shughuli zangu..
Week moja baadae nikaanza safari ya kwenda south Africa,
Kipindi hicho nafanya safari za south Africa to Tanzania.,,
Nakuja na TV,laptops,phones,, vitu vya electronics mbali mbali.
Mkuu nakuhakikishia nilikwenda kupata hasara ya mzigo kama wa milioni 10 hivi.,
Siwezi sahau mikosi niliyoipata wakati huo..
Nilikuwa natumia mwezi Mmoja safari ya kwenda south na kurudi Tanzania,,
Lakini baada ya mikosi ya kile kinyesi nilitumia miezi 3 south Africa.,
Tena kwa kurudi kwa hasara kubwa.
Nikarudi bongo nikahangaika nikaenda tena shambani mwaka baada ya kile kinyesi,,
Still walitokea kundi la nyuki sijuwi wametokea wapi.
Nikikimbia nikaacha hata mimea niliyokuwa nimenunuwa kwenda kupandikiza shambani..
Baada ya week nafasiri nakwenda Italy,,
Yaliyotokea huko ni siri yangu...
Naungana na wewe Mkuu kinyesi ni nuksi tupu...

Ikanipelekea kugunduwa aliyefanya vile ni mwanamke..