Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,101
- 828,958
- Thread starter
- #101
That's itTulipomuuliza kama anaumwa?akasema hapana ni bahati mbaya.ikabidi cleaners wafanye usafi,niliwahurumia sana kwa kweli,tukadhani labda mama yule wa kihindi kwa tendo la aibu alilofanya atachukua muda mrefu kurudi,lakini alikuja baada ya siku 2,yuko kawaida kabisa kama hakuna lililotokea.na hadi leo ana locker lake hapa.





