Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,175
- 829,132
- Thread starter
- #181
We mshana siku ukija upareni kama ni ijumaa simama kijiji cha Mgagao kuna mnada nikupe kondoo "igonji" uchome ule!!!!










Hawa jamaa hicho ni chakula chao.. Kuviringa ni kurahisisha kukisafirisha mpaka sehemu salama ...! Ole wako ujaribu kumporaHiyo picha !! Ameliumba kama tonge la ugali, hivi anapeleka wapi ? Au ni mazoezi ? Ujuzi wa kufinyanga kautoa wapi ? Mara nyingi nakutana nao nabaki kushangaa kazi ya mola. Hongera mtoa hoja . Biashara yako ikitiwa kimavi umekwisha, watu wataona fremu yako kama choo cha shimo kisichofanyiwa usafi.
Mkuu umenikumbusha kipindi nipo darasa la sita, mwalimu wetu wa kiswahili alikua akiingia tu darasani baada ya salamu alikua akifuatisha na methali hizi"Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...anaendelea, ganda la muwa la janaaa? twamjibu Chungu kaona kivuno". Baada ya hapo ndio somo linaanza rasmi.Habari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...Mkuu umenikumbusha kipindi nipo darasa la sita, mwalimu wetu wa kiswahili alikua akiingia tu darasani baada ya salamu alikua akifuatisha na methali hizi"Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...anaendelea, ganda la muwa la janaaa? twamjibu Chungu kaona kivuno". Baada ya hapo ndio somo linaanza rasmi.




Teh teh teh hiyo methali ya Zumbukulaa ina maana gani Mkuu?Mkuu umenikumbusha kipindi nipo darasa la sita, mwalimu wetu wa kiswahili alikua akiingia tu darasani baada ya salamu alikua akifuatisha na methali hizi"Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...anaendelea, ganda la muwa la janaaa? twamjibu Chungu kaona kivuno". Baada ya hapo ndio somo linaanza rasmi.
huyo bwana alikua Mwalimu wa michezo, alipenda sana mzaha na hasa ikizingatiwa kipindi hicho sheria mashuleni zilikuwa bado hazija changamka, angaweza kimwangalia mwanafunzi aliejazia makalio kisha akambeza"kikundu kama kijungu cha uketooo; na kinachofuatia hapo nikicheko.Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...![]()
mkuu mshana Jr ameshatuwekea picha hapo juu, iangalie vizuri utapata jibu, huyo mdudu haiwezekani afanyekazi isiyolipa, huo ni msosi anajilia kimtindo!
Huyu alikuwa mendehuyo bwana alikua Mwalimu wa michezo, alipenda sana mzaha na hasa ikizingatiwa kipindi hicho sheria mashuleni zilikuwa bado hazija changamka, angaweza kimwangalia mwanafunzi aliejazia makalio kisha akambeza"kikundu kama kijungu cha uketooo; na kinachofuatia hapo nikicheko.



Pengine, ila hajawahi kukutwa na kashfa, yu msafi hadi leo hii.Huyu alikuwa mende![]()
Nilimfungulia wife biashara soon baada ya ndoa maana alikuwa bado mwanachuo kwakweli ilichanganya mpk mm nikajiuliza nilichelewa wapi kufanya hiyo kitu kabla,but all in sudden one beautiful morning tukakuta kimba la haja la mtu mzima usawa wa frame tunayofanyia biashara yaani nakuhakikishia hazikupita hata miezi 2 tukawa tayari tumefunga.Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa.
Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha lakini. ! ni makapi ya chochote ulichokula, yani mwili umeshachukua vyote vya maana kwahiyo hicho kilichobaki ni uchafu
Kinyesi ni kitu kingine kabisa licha ya uvundo wake lakini ukikikanyaga lazima uchechemee kama mtu aliyechomwa na mwiba..yani unapata hisia fulani mbaya kabisa akilini ukiwa umekikanyaga....na ndio maana hakuna nyumba inayokamilika bila kuwa na choo ya kuhifadhia hiyo kitu
Ukisikia mtu ana kimavi, muonee huruma maana ni mwendo wa mikosi mwanzo mwisho
Sasa hebu pata picha hii
Unaamka asubuhi na kukuta barazani kwako au getini kuna bonge la kimba! Unajiuliza na kutafakari mengi lakini unapuuzia na kufanya maarifa ya kusafirisha
Hii inaweza kutokea hata zaidi ya mara tatu na kudhani ni watu wakorofi au pengine wavuta bhangi....pole sana ni heri wawe ni hao kuliko kama ni mambo ya kishirikina..kwakuwa baada ya hapo kila kitu kitaanza kuyumba, vile watu wanavyokiogopa kinyesi na kujitenga nacho ndio hivyo hivyo nawe utakuwa
Ni mambo mabaya ya kishetani huja na madawa na manuizi ya uharibifu mbaya...na akimaliza huseta ukuta kwa makalio yake
Naamini wengi walishakutana na jambo kama hili kwa namna moja au nyingine na baada ya hapo ukaanza kukutana na milima na mabonde, hutakiwi kutafuta waganga wa kienyeji. ....kwa imani yako fanya utaratibu wa ibada ya kutakasa makazi. ..hiyo ndio dawa pekee ya kuweza kukuokoa na hili janga
NB: ushauri wa bure
Kama wewe si mpenzi wa hizi mada nakushauri upite kimya
Mungu wangu ilikuwa wapi na lini? If you can share.. Please!!!Nilimfungulia wife biashara soon baada ya ndoa maana alikuwa bado mwanachuo kwakweli ilichanganya mpk mm nikajiuliza nilichelewa wapi kufanya hiyo kitu kabla,but all in sudden one beautiful morning tukakuta kimba la haja la mtu mzima usawa wa frame tunayofanyia biashara yaani nakuhakikishia hazikupita hata miezi 2 tukawa tayari tumefunga.