Gundu la kinyesi

Gundu la kinyesi

Dah pole sana shamba kama bado lipo niambie tulifanyie maarifa ...BTW hii imenichekesha sanaIkanipelekea kugunduwa aliyefanya vile ni mwanamke..

Maana yake alijisaidia ,,,halafu akakojowa pale chini na kuacha shimo kubwa hata nikahisi kumtamani kingono.
Inaonyesha huyu Mchawi aliyejisaidia hapa alikuwa bado binti mbichi sana,,

Sio kwa ukubwa wa shimo lile..
Shamba bado lipo MKUU,,
 
China wanafanya hivyo
Dah,mkuu iko mahali nilienda huko nchi Jirani sasa wanafanya recycling ya maji ya chooni,dah mkuu yani hata kuoga hayo maji nilisitisha na ni meupe balaa kama maji ya Kilimanjaro,mkuu kinyesi ni kinyesi.

Ingawa aya maji tunayokunywa ya kisima ni hayohayo yanachujwa ardhini mpaka yanakuwa masafi,afadhali huko underground hatuoni.thought ukienda nchi za magharibi huko hukwepi kutumia hayo maji,angalau wao wanakula keki kwa wingi na vyakula vya viwango ,njoo Africa mkuu.lol
 
Yeah unajua tunaangalia initial material ya hiyo product ...Maji yatokanayo na kinyesi
 
250px-Cow_dung.jpg
 
Kwa namna gani kaka! Nielekeze jinsi yakufanya nmechoka na haya majanga

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna gani kaka! Nielekeze jinsi yakufanya nmechoka na haya majanga

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ngoja nisome!
 
Kwa namna gani kaka! Nielekeze jinsi yakufanya nmechoka na haya majanga

Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kaka Mungu akupe maisha marefu yenye hatma nzuri!
 
Back
Top Bottom