Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,212
Home kwangu ilikuwa 2009-2010 bad enough nikadharau nikazoa na kutupa ila hapa karibuni nilihudhuria ibada ya Morning glory kwa Mch Kimaro aliongelea those things ndio nikafumbuka macho kuwa they do exist?kwakweli ni ushenzi na kurudishana nyuma hlf utakuta aliyefanya hivyo hajanufaika chochote kiuchumi.Mungu wangu ilikuwa wapi na lini? If you can share.. Please!!!

