adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,699
MTUME muhamad ilikuwa kila siku asubuhi akiamka kwenda msikitini anakuta bonge la kimba mlangoni kwake anachokifanya ni kukizoa na kutupa mbali!kwa mda wa wiki 2 siku ya siku kaamka hakukuta mavi mlangoni kama desturi alivozoea ikabidi ajiulize leo vipi kunani?!kesho yake hakukuta tena akajua huyu jamaa sio bure atakuwa amepatwa na tatizo akaenda kumtembelea jamaa akakuta jamaa anaumwa!basi akawa anamfariji pale akamuombe jamaa akapona.