Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Ili ni mtoko mmoja?Habari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
Ili ni mtoko mmoja?Habari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
Mmmh asigwa hatukichukii ndio maana tunatumia gharama kubwa kukitunza kwenye makazi salama [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini wanadamu tunakichukia sana kinyesi chetu.
Mbona viumbe vingine kama ng'ombe na kuku na wadudu hawakichukii kinyesi chao.
Au ni biologically programmed ??
IBAMBAHabari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ... Ulikuta bonge la ..... [emoji12] [emoji13]Aisee! kuna siku ofisni kwetu alikuja dada mmoja na mkaa wote vijana ofisi ilikuw barabarani wakaja wakaomba kujisaidia, yule dada alisema amebanwa sana tukampa funguo choo kilikuwa nyuma ya ofisi, akenda akafanya yake akarudisha funguo huyo akaondoka, baadae nikawa nataka kwneda kujisaidia ile nafungua choo nakutaka na bonge la kimba moja refu limesimama pembeni ya choo maana choo ni cha kuchuchumaa, ajabu ni kuwa kuna maji na brush ya choo hata kama alikuwa amekosea kulenga ilikuwa vema kama angesafisha, mpaka leo hatukujua lengo la yule dada, sasa naanza kupata sababu, aisee watu wawili wazima wanasindikizana kufanya haya?! Nchi hii ngumu sana.
Hahhahahaaaa masharti ya mganga hayoAisee! kuna siku ofisni kwetu alikuja dada mmoja na mkaa wote vijana ofisi ilikuw barabarani wakaja wakaomba kujisaidia, yule dada alisema amebanwa sana tukampa funguo choo kilikuwa nyuma ya ofisi, akenda akafanya yake akarudisha funguo huyo akaondoka, baadae nikawa nataka kwneda kujisaidia ile nafungua choo nakutaka na bonge la kimba moja refu limesimama pembeni ya choo maana choo ni cha kuchuchumaa, ajabu ni kuwa kuna maji na brush ya choo hata kama alikuwa amekosea kulenga ilikuwa vema kama angesafisha, mpaka leo hatukujua lengo la yule dada, sasa naanza kupata sababu, aisee watu wawili wazima wanasindikizana kufanya haya?! Nchi hii ngumu sana.
kumbe unaweza kushauliwa ukalishushe...sehemu ji kimba duh...si hatari hiiHahhahahaaaa masharti ya mganga hayo