Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

kiuhalisia mwezi wa tisa unaitwa ni mwezi wa shetani
mabalaa yote hutokea mwezi huu, mwezi huu huwa una vifo vingi sana
hakuna uharisia wowote wa kuhusisha siku, mwezi au mwaka na ajari.
Sababu ni ama za uzembe au kiufundi!!

Wapumzike kwa amani
 
Poleni sana wafiwa .
Mungu wetu ni mwema daima na jina lake lipewe sifa .
 
poleni sana wafiwa kwa kuwapoteza wapendwa wenu. Msiba wa jirani ni msiba wako.

Ukisoma comment za baadhi ya watu kwenye thread hii, inatia simanzi na kinyaa kufikiri kama wanao post ni binadamu wenye fikra na mtazamo sahihi kimaisha hata wakiwa nje ya siasa.

Siasa za tanzania zimevamiwa na kupata wenyewe ambao hawafahamu hata mpaka wake na cha kushangaza wengi wao wanajinasibisha kama ni wacha mungu.

With god's grace, they should understand the concept of humanity and care.

we dogo ni mnafiki sana!
 
Nimesoma michango ya wana JF wengi pamoja na pro-Chadema lakini nashangaa hakuna hata pro-Chadema mmoja aliyempa pole Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

Mi naona habari hii haijawa na ukweli ni mpaka chama cha mafisadi a.k.a ccm waje wadhibitishe kama ni yule kada wao.
 
Maisha ni mapito jamani!

Tusijisahau hapa duniani.

Pumzika kwa amani mwenzetu!

Kwani alipoenda CCM amefika na kutangaza nia ya uongozi wowote ule? Maana hayo maccccm ni hatari unatakiwa utangaze nia at last sana,
Tena ukiwa umeshazuru kwa bibi na babu mara kibao.
 
Nimesoma michango ya wana JF wengi pamoja na pro-Chadema lakini nashangaa hakuna hata pro-Chadema mmoja aliyempa pole Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
Hivi wakisema poleni wafiwa, wanafamilia nk hayuko included hadi stwaje jina? Hata hivyo kuna waliomtaja km shida yako ninjina.
 
Sisi si wanafiki kama ninyi
Ushabiki wa siasa umetufanya mpaka tumepoteza hutu wetu na uzalendo wetu.

Mbowe kafiwa na dada yake watu wameshindwa hata kumpa pole.

Pole Mbowe kwa msiba wa dada.
 
Kiuhalisia mwezi wa tisa unaitwa ni mwezi wa shetani
mabalaa yote hutokea mwezi huu, mwezi huu huwa una vifo vingi sana
Ina maana miezi iliyobaki hakuna mabalaa?

Tusidanganyane
 
Mi naona habari hii haijawa na ukweli ni mpaka chama cha mafisadi a.k.a ccm waje wadhibitishe kama ni yule kada wao.
Mkuu naona kama umejisahau aisee.... Siasa zisiwe na nafasi kwenye mambo kama haya
 
Unaishi sayari gani?huo mkanda wa ukabila kwenye sayari yenu bado haujafutika?kwenye sayari zingine single hizo zilishafutika kitambo na nyingine mpya zikazaliwa nazo zikaisha lakini chadema bado inadunda!
Muumba amlaze marehemu panapomstahili!

tatzo hujajuw dunia inazungukia upande gn,ungelitambua hili nisingetumia nguvu kubw kukueleza,cdm huijui vizur,muulizen zito atawaambia vizur
 
Tunakoelekea ni kubaya sana.

Zamani kilio cha mmoja ni cha wote, lakini siku hizi watu wanauliza itikadi .

Huu ni msiba mkubwa sana.
 
Hivi wakisema poleni wafiwa, wanafamilia nk hayuko included hadi stwaje jina? Hata hivyo kuna waliomtaja km shida yako ninjina.

Kutaja jina... Kwani tunapiga kura hapa??
Tenganisha majukwaa ya siasa na maisha ya mtu na Mungu wake!
 
Ukitaka kujua upuuzi wa hawa pro-Chadema soma huu uzi mpaka kifo cha Dada yake Mbowe wanaponda kisa alikuwa mwanachama wa CCM.

Cc; Ben Saanane,
 
Last edited by a moderator:
Ushabiki wa siasa umetufanya mpaka tumepoteza hutu wetu na uzalendo wetu.

Mbowe kafiwa na dada yake watu wameshindwa hata kumpa pole.

Pole Mbowe kwa msiba wa dada.
Kama kawaida yenu CCM kuteka misiba na kujifanya
mnajua kulia kuliko wafiwa.
 
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab

Unafanyia propaganda msiba?
 
Back
Top Bottom