Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Mimi sio kama makamanda wanaochekelea ajali za wana CCM na kuwaombea wafe.

Lakini pia nawaomba polisi wachunguze mazingira ya hii ajali, isije ikawa ya Chacha Wangwe tena, si unajua dada alihama chadema na kujiunga na CCM?????


unafiki wa kiwango cha juu.
 
ero mayeu engai orchagaaa,tatzo cyo cdm tatzo ni ukabila ndo shida

Unaishi sayari gani?huo mkanda wa ukabila kwenye sayari yenu bado haujafutika?kwenye sayari zingine single hizo zilishafutika kitambo na nyingine mpya zikazaliwa nazo zikaisha lakini chadema bado inadunda!
Muumba amlaze marehemu panapomstahili!
 
Kuna ajali mbaya imetokea asubuhi hii eneo la Segera ambapo gari aina ya GX100 limepinduka na kuuwa watu watatu ambao walikuwa abiria wa gari hilo.

Card ya gari inasemekana ina jina la mmiliki aitwae Grace aikaeli Mbowe.

Nitawapa taarifa kamili baadaye.

------

9892981_orig.jpg


Hakuna mwanadamu anaekifurahia kifo cha binaadamu mwenzie,ulale mahali pema peponi mama
 
asingeweza kuishi muda mrefu na vile alikuwa na siri nyingi za chadema na mbowe ,yamemkuta ya regia mtema,kibanda na chacha wangwe ni vigumu kutoka kwa mbowe au kupambana naye salama


Hakuna binaadamu anaedumu hapa duniani milele ipo siku atakufa tu na kuurudia udongo,sio vizuri pia kusambaza chuki kwa kuamini hisia/tetesi kuwa ndio ukweli.Tujenge taifa moja na tuepuke unafiki na uongo kama huu wako uliouandika hapa
 
Mimi sio kama
makamanda wanaochekelea ajali za wana CCM na kuwaombea wafe.

Lakini pia nawaomba polisi wachunguze mazingira ya hii ajali, isije
ikawa ya Chacha Wangwe tena, si unajua dada alihama chadema na kujiunga
na CCM?????

Umeanza kuleta ujinga ujinga? Acha kutuharibia uzi bana
 
Watakuja wendawazimu wengi kama huyu Chris Lukosi na kusema kifo cha dada yake mbowe pamoja na familia yake kuna mkono wa chadema
 
Last edited by a moderator:
poleni familia ya mbowe, mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

Aliyekupeleka U.K nani?chizi kama wewe.
 
Mbowe unavuna ulichokipanda katika taifa letu,si unaona hata kauli za washabiki wako katika msiba wako. SI UNAOOONAAA !!!
Vyama pembeni, poleni poleni sana familia ya Mh. Mbowe kwa kumpoteza dada.

RIP GRACE MBOWE.
 
wafiwa Mungu awape kumbatio lake....Marehemu Mungu awalaze mahali pema peponi
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

mbawala au mbarawa
 
Poleni sana Wafiwa pamoja na ndugu wote wa marehemu. Inaniuma sana dada yetu kufa ghafla akiwa Mwana CCM!
Haina tofauti na mtu aliekufa akiwa mfuasi wa "shetani" CCM ni tawi la shetani hapa duniani.

Mungu ampe msamaha wa dhambi ya kujiunga na CCM dada yetu.
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Wadau wana jf nahisi tofauti zetu za kiitikadi zimetufikisha pabaya, mi hata siamini kama leo Mtanzania mwenzetu anatangulia mbele za haki tunashangilia ni hatari nawaombeni tubadilike kwani mauti ni mapenzi yake mola. R.I.P wapendwa Watanzania wenzangu.
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

Ni kweli mkuu, ila hapo kwenye red umeniacha mbali kidogo najaribu kutafakari kama kwenye baraza tuna waziri anaitwa hivyo, hainipi kabisa!!! Au ulitaka kumaanisha yule wa Technologia?
 
Ni muhimu wanadamu tukaacha ujuha ktk hili;mtu akifariki utasikia majuha wengi wakinadi "ALAZWE MAHALI PEMA PEPONI" Hivi Mungu hajui wapi mtu anastahili kuwekwa?
Tafuteni elimu zote cyo kushadadia siasa tu na mbumbumbu wa mambo ya kiroho! Kuna sehemu mbili astahilipo mwanadamu peponi na kuzimu.Ni vyema kila mmoja kujiandaa kila wakati kukabili ANAPOSTAHILI.Leo Grace,kesho.....
Otherwise,ninawapa pole wafiwa wote.Mungu awape faraja.
 
Back
Top Bottom