Good news for JF members especially MMU

Good news for JF members especially MMU

karibu MMU where we dare talk openly and still love one another

Hebu wasiliana na AshaD na Asprin wakupe oriientation ya upendo
\
hahhaha...good direction...
 
Mkuu ungetaja jina la bihalusi. Tusje tukaingiliana kwenye makoloni.
Kama yuko katika koloni langu, jibaba jiandae na BAN.
 
kama ukinipa card nitakuja na nanihiiiiii
kadi lazima upate ..unataka kuja na nani vile...?wewe si nimeona kule kwenye thread ya jamaa anayeuliza ummri wa kuoa kuwa upo single...
 
hapa siongei mahusiano ya kuandikiana meseji hapa JF naongelea in really life ...
SI nakutakia kila la kheri lakini nilikuwa na doubt kuhusu JF kutoa ndoa zaidi ya 100+ ikabidi niulize ukimkwarua mwanaJF mwenzako utakuwa umefunga ndoa? Usiniulize kukwarua ni nini? Tehe tehe tehe tehe tehe.
 
Hongera sana SI
But mbona wengine tayari tunazo ndoa nyingi hapa??
Yako itakuwa ya 100+
Ndio na mimi nilikua nashangaa, hivi ndoa yakwanza maana yake nini? ye anajuaje ni yakwanza? wengine wamezaa na watoto humu humu. lol
 
kadi lazima upate ..unataka kuja na nani vile...?wewe si nimeona kule kwenye thread ya jamaa anayeuliza ummri wa kuoa kuwa upo single...
kwani yako ni tar ngapi maana hapa katikati naweza kuwa nimetembelewa si unajua tena
 
Back
Top Bottom