Good news for JF members especially MMU

Good news for JF members especially MMU

hapo kweney red..ngoja kwanza tutoke kwenye mada ...huyo mdada yupo JF ..kama hayupo mwambie ajiunge na ani pm ..mwambie SI ni mcheshi na hana noma ..na mwambie thanks kwa kusifia avatara ya SI
Hahahaha..huyo dada unayemuoa kazi anayo!!!
 
Hahahaha..huyo dada unayemuoa kazi anayo!!!
wala hatopata tabu hata kidogo zaidi ya raha tu na kudekezwa kwa sana ..........sema tu nampenda kinoma (ila nazani wakumbuka thread yangu ya kuomba msada juu ya maumbile).....
 
Wote wawili mnatakiwa mpewe lecture!! Inabidi pia mkishaoana msibaki tena hapa jamvini.
ww rejao usitumie masaburi kufikiria ..nipe sababu kwa nini tukishaoana tuachane na JF?
 
Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la JF .
.viva JF

Hongera sana Mkuu. Hapa kuna Wanawake na Wanaume wa maana tu na kwa maoni yangu hii itakuwa ni mwanzo wa ndoa nyingi zitakazotokea hapa JF kwa miaka mingi ijayo. Kila la heri.
 
all ze best si mi nipange kwenye kamat upande wa vinywaji, hakika sitanunua pombe ni soda na juice tu hyo ya bia 2nakupa ukamnunulie mkeo zawad ya x-mas
 
all ze best si mi nipange kwenye kamat upande wa vinywaji, hakika sitanunua pombe ni soda na juice tu hyo ya bia 2nakupa ukamnunulie mkeo zawad ya x-mas
hahahha ...mkuu watu watakuelewa kweli?
 
Si unajua kwa nini inaitwa PINGU ya MAISHA?sababu ni...
N-yumbani
D-aima
O-mbea
A- mani
AMEEEEEEEEENI...amen ya kikristo.
 
Back
Top Bottom