Good news for JF members especially MMU

Good news for JF members especially MMU

kwenye Bold, Wasiwasi wako tu Rafiki..
kama Mtakatifu atakubali basi nimejitolea kuwa mpambe wake siku ya Harusi....
Ivuga upo????

Wasi wasi wangu... ilibidi nirudi reverse kuhakikisha it is indeed you...
Mie naamini mtu yeyote wa kujitolea ana sehemu anaweza pewa responsibility
katika shughuli za harusi... lol

kama wewe sio mlevu haina shida ..ila kama unapiga kielevi itakuwa sio njema ..si unajua.

Wee Ivuga mbona unaharibu mambo?? Kama mlevi mbadilishie sectot but sio eti kutompa kazi kabisa!! lol
 
Wee Ivuga mbona unaharibu mambo?? Kama mlevi mbadilishie sectot but sio eti kutompa kazi kabisa!! lol

hamna kilichoharibika mpendwa, mi si mlevi..
naona ndoto zangu za kuwa mpambe wa Matakatifu zinaelekea kutimia!
 
kama wewe sio mlevu haina shida ..ila kama unapiga kielevi itakuwa sio njema ..si unajua.

mule mule chalii yangu, hiyo kitu sigusi kabisa.. tena kwa kuongezea kijijini kwetu wananiita mwenye heri!!
 
hamna kilichoharibika mpendwa, mi si mlevi..
naona ndoto zangu za kuwa mpambe wa Matakatifu zinaelekea kutimia!
aaa ....mimi nataka wapambe walevi bhana..si unajua wanywaji ndio hutoa michango mikubwa mikubwa?
 
Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la JF .
.viva JF

Bebii au Faizafoxy......................
 
Back
Top Bottom