Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Duh! najaribu kupata picha nini kinaendele Lumumba time hii.
 
We usituguze na ntwala yetu chezea hukohuko kwa wasiojitambua
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.[/QUOTE

]

NASHAURI KWA DHATI KUWA UONGOZI WA CHADEMA UMPATIE GODBLESS LEMA LIKIZO YA MAFUNZO KWENYE VYAMA RAFIKI ANGALAU KWA ZAIDI YA MWEZI MMOJA......ILI ATULIZE AKILI NA KURUDI NA MIKAKATI MIPYA..................KUFANYA KAZI HIZI BILA KUPUMZIKA KUNAWEZA KUMPUNGUZIA NGUVU FULANI...
HILO NI MUHIMU SANA LIKIZINGATIWA...
 
Smahanini ninaomba kuwauliza: Hivi kwanini uchaguzi wa kata hizi huko arusha ulirudiwa?
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

Kama jina lako linavyosadifu, Mungu akutangulie tuko pamoja sana!
 
nenda Mtwara Lema uwaeleze ukweli wananchi kwamba gesi yao wamepewa wachina kwasababu ya kulipa fadhila kutokana na dhahama iliyomkuta mtoto wa bwana mkubwa kule Uchina.
.........yan????c wa huku mbwinde mkuu umetuacha kidogo,tiririkaaaaaaa
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.
CDM inatisha zaidi ya moto wa gesi a-chugga, safi sana.
 
Ukimaliza Mtwara nenda Mkoa wa Rukwa kamanda wetu!
 
Daaa CDM Wpo juu;hasa arusha;NJOONI NA KWETU BAS MIJITU BADO IKO IMELALA
 
usiogope wale jamaa ni marafiki zetu lait kama ungekuja soweto wakati wanalinda wao ungeona kwn wengi wao ni waelewa sio hawa ilimradi uwe mrefu na chagonja umemuona basi unapatakazi

Hope Unamaanisha MAMA Chagonja(Mke wa Chagonja.)
 
peopleeeeeeeez! Dah! Nataman ningekuwa A town, hongelen sn AT
 
Amina...giza na nuru havina ushirikiano kamwe.
Anayeanza na mungu na kumaliza na mungu huyo ni wa nuru
nuru ilishinda giza
mungu awe pamoja nanyi.
Daima mungu akiwa upande wako ni nani aliye juu yako? - hakuna
endeleeni kumtumia mungu na kumkimbilia yeye katika mapito yote...yeye atawashindia
hongera lema
 
Nimempenda huyo jamaa aliekua anamkoromea huo afande-CCM.source ch.ten.
 
Back
Top Bottom