Duh! najaribu kupata picha nini kinaendele Lumumba time hii.
Hizo ni salaam kwa Mwigulu Nchemba na Nape kwamba siasa za mabomu zinawadhoofisha wao wenyewe!!!!
Hongera Kamanda Lema!!! Yaani hadi raha!!!!!!!!!!!
napita
Smahanini ninaomba kuwauliza: Hivi kwanini uchaguzi wa kata hizi huko arusha ulirudiwa?
Huyu Kamanda Lema alinifurahisha aliposema: "Kura zikiishahesabiwa, sisi CDM tunatangaza matokeo, hatusubiri tume."