Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
They are just wasting thir time. CHADEMA is now growing morning and evening! CCM hawazijui mbinu za kuwazuia. Na hapo ndo wamewapatia hatimiliki ya hilo jimbo. Let me wait to see the results of tha judgement! lkn NEEMA is coming.
 
Yaani we Masikini kweli.Mungu wanamkumbuka kitambo ndio maana anawaonyesha njia ya kuiondoa CCM madarakani.Arumeru wamekwambia Walianza na Mungu wakamaliza na Mungu.Sasa Arusha the same applies,kama unajua kiingereza,maana najua nyie na Kiarabu Kiarabu na nyinyi.Arusha tunakuja kihivi:"Uweza Watoka JUU"
This is an insult. Hapa mnamaanisha sisi hatutakiwi CDM, maana yake na narudia tena maana yake CDM ni chama cha kikristo na wakristo tu!!
 
Ndo nimetoka kwenye mkutano wa taarifa fupi ofisi za Chadema na Nassari amesema Lema atagombea tena na wana Arusha tunaahidi kushinda kwa kishindo kumbakiza Lema kwenye nafasi yake
Lema atashinda hata asipopiga kampeni.
 
CDM haina haja na rufaa.CCM imsimamishe tena Burian.Uchaguzi huend ukawa Julai mosi au Julai 7.Hivyo Lema anapumzika kwa miezi miwili tu kuwepo nje na atarudi tena.Fomu ya kugombea tutamlipia.
 
Jamani tumepewa nafasi ya kujitangaza tena baada ya Arumeru. CCM wanafanya makosa makubwa sana VIVA Chadema ushindi bado upo upande wetu. (CCM WEZI WA MALI YA UMMA)
 
:lol::lol:KAZI IPO!
Uccheze na nguvu ya ummma suibiri marudio ya uchaguzi itafaamika na MAGWANDWA watapata aibu tripple naona ARUMERU hapajawapa somo mpk sasa.
Abt jaji mmmmh km ndo hvyo nawaachia wanawachuga,,vjana wanaumia waliopiga kura zao kwa LEMA we2
 
Hi, nimefurahia hukumu make inatujenga wana-CDM kuelekea 2015, napendekea CDM tusikate rufaa na kamwe ccm wasitarajie kuchukua jimbo hata kwa dawa,
 
Hakiyanani mi hapa mapigo ya moyo yananidunda sasa kwa kuwa uchaguzi utarudiwa kweli naapa mungu ataishindia chadema.......
1. Mkono wa el huo!
2. Yule mwanamke aliyegombea kwa sisiem huyo amechangia!!!
3. Kama el ndo anatumia mbinu hizi kutafuta urais basi amenoa!
4. Hivi mboa hawa magamba hawaitakii amani arusha!!!!!!!!
5. Naapa 2015 ccm haipati hata jimbo moja mkoa wa arusha!!!
 
This has more to do with finishing off Lowassa than CCM winning the constituency.

Kama umeshindwa Arumeru East kwa wakwe na Arusha mjini (chadema atashinda), utawezaje kushinda Urais? Hana influence.

Upande wa pili, Chadema inajiongezea ushawishi na umaarufu, na kesi ya Mpendazoe itaanikwa zaidi, kitu kibaya kwa CCM kwa ujumla.
 
Yaani chaguzi nyingine ndogo aisee i am so mad at the system right now!

Hii mambo ya chaguzi ndogo we are sick and tired!
 
Nipita Tu wadau,Ila ni bora Jaji angesoma alama za nyakati.. Angeacha tu amalize muda wake uliobaki,watakaoumia ni wananchi wa hali ya Chini sana.. Mfano kuna jamaa yangu katoka kunitumia msg anasema anaomba nimtafutie Chumba DSM haraka hataki vurugu zimkute Arusha.. Wapi inakwenda jamani na wengine wanashangilia wakati wao wanajua hawatoathirika na chochote.
Atasoma wkt gani alama za nyakati?akiwa amepofushwa macho
Na mfumo kandamizi,ndomana tunahitaji pia ukombozi wa mfumo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom