Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Tunaomba kiongozi wa CDM aweke hadharani namba ya m-pesa au tigo hewani ambayo watu tutachangia ukombozi wa pili! Tafadhari weka haraka watu tuna hasira!
wasije wakachakachua hizo number........mitandao yote ni yao
 
Wakuu tunawashukuru sana kwa mioyo yenu ya kujitolea kuchangia harakati za ukombozi,namba ya mpesa ni 0758 003 509,na tigopesa ni 0655 788 333
Mungu awabariki sana
Nanyaro Ephata
Mwenyekiti CHADEMA wilaya ya Arusha mjini
Mkuu,
hAKIKISHA unawatumia PM hao jamaa wa hapo juu maana wanaweza wasione post yako!
Kuweni efficient na mtandao bana...huku ndio mambo yote yanakopikwa!
 
hayo yameshakuwa ...tuangalie matokeo yake...ila tuwe makini kwenye mikutano yetu
 
I can bet...ccm wana kibarua kizito kuingia kwenye uwanja ule. tusubiri... tatizo uchumi wa tz unaumia kwa kwa chaguzi hizi ndogo ndogo...

Hata hv itakuwa ni litmus test ya ccm na serikali....uzuri manispaa ya ar inaongozwa na wao na hakuna la maana wamefanya... kila kitu ni muda... God Friday Godbless tukopamoja
 
Ntachangia Tsh 10000 WACHA VIJANA WALE MAHARAGE NA CHINESE HAWAWEZI KUFA KWA SIKU MOJA!
 
Jamani tunaomba tupate utaratibu kutoka makao makuu wa kuchangia chama chetu CHADEMA, kwa sisi tulioko nje ya nchi.
Kama CCM wanadhani wataidhoofisha CHADEMA kifedha, wamecheza pata potea.
 
This is nice and formal, I hope hizi namba ni sahihi, I have good contribution for this, ngoja nijipange wakuu
 
Du,
Mama la BAVICHA, ....sioni LIKE kwenye post yako aisee!
Unatisha mtu wangu!...hupitwi!
Mkuu usitake kutuudhi wakati watu bado tuna hasira utasababisha wenyewe kwa wenyewe tusababishiane ban, CHADEMA haina kitu kinachoitwa BAVICHA, naitambuwa UWT tu ya CCM ndio iko active, hawa Bavicha ni takataka tu, lakini simaanishi Preta.
 
sasa kama mnasema hamuamini mahakama na mnapeleka kwa umma. mwisho watu watapiga kura na kura zitasimamiwa na Tume ya uchaguzi, jee mtaiaminije wakati nayo iko chini ya serikali ya CCM ?

acheni kujidanganya fateni sheria, na kama kuna haki yenu hakuna anaeweza kukupokonyeni
 
Mkuu usitake kutuudhi wakati watu bado tuna hasira utasababisha wenyewe kwa wenyewe tusababishiane ban, CHADEMA haina kitu kinachoitwa BAVICHA, naitambuwa UWT tu ya CCM ndio iko active, hawa Bavicha ni takataka tu, lakini simaanishi Preta.
😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom