Siyoi has a super super job that pays him handsomely... Acheni *****
hawajui watu wa arusha walifanikisha vipi ushindi arumeruKama CCM walishindwa kujifunza Arumeru sasa watapata somo Arusha Mjini.
Endeleeni kupiga ramli soon utasiki Ridhiwani.....
Walete watoto wote wa marais, mawaziri wakuu, wote wataangukia pua.
Kama CCM wanafagilia kusimamisha mwanamke kwani ni lazima wamsimamishe Mtoto wa kigogo?
Kwanini wasimpendekeze Katherine Magige?
nnguu007,
..Joseph Sokoine amepigwa marufuku Tanzania na Edward Lowassa.
..adhabu yake ya kuishi nje itaisha pale Edward Lowassa atakapouchoka ubunge wa Monduli.
Huyo dada namfahamu ni mshenzi sana na sijui alipateje pataje ubunge wa viti maalumu kupitia Monduli!!!!
Akigombea huyo hata kama CDM ikisimamisha kivuli, kivuli kitashinda tu na siyo yeye tu hata JK akija hapa atashindwa maana hata kura zar urais Arusha hazikutosha dhidi ya Dr. Slaa.
Nakumbuka sana siku Lowassa alipokuja kumpigia kampeni AICC kupitia viti maalum.
Wamama walilalamika sana kitendo cha Lowassa kuja kumpigia kampeni hawara wake. Tena walidai kuwa Lowassa anataka kuwaweka hawara zake tu, maana Jimbo la Arusha alifanikiwa kumpitisha hawara mwingine ambaye ni Batilda.
Acha ile Dada yake alikuwa Miss World Africa Nancy Sumari; Dada Mwingine Mwimbaji kasaini na SONY alikwenda Chadema kugombea Ubunge Chadema hawakumpa sababu alijiunga sababu ya Ubunge akarudi CCM kwa kishindo na kupokelewa na Kikwete pamoja na baba yake kabla hajafariki... sasa wadogo zake gani anasomesha???
Wote wanajitegemea na wana pesa...
nnguu007,
..Joseph Sokoine amepigwa marufuku Tanzania na Edward Lowassa.
..adhabu yake ya kuishi nje itaisha pale Edward Lowassa atakapouchoka ubunge wa Monduli.
Janjaweed,
Sasa alifuata nini kwenye Ubunge kama ana hiyo Super Job inayomlipa vizuri? Ukweli ni kwamba kazi aliyonayo haimtimiziii mahitaji aliyoachiwa na Baba yake. Mzee Sumari kazaa nje ya ndoa watoto watatu ambao wote wapo under 19 years. Wakati Sumari anakufa Sioi aliachiwa jukumu la kuhakikisha hao watoto anawasomesha vizuri hadi wafike Chuo Kikuu. Sasa ukichanganya na majukumu ya familia yake, Mzigo alionao Sioi ni mkubwa sana. Apewe tena nafasi ya kujaribu Arusha Mjini.