This is childish...Tuna kindergatten humu eeh?kamam kuna typing aerror msnisamehe but abar za uhakioka kabsa noi kuwa Lea,ma aawachane na mpango Wa kukata rufanins kwani MagAmvba waTAchelewesha Kesi makKusiudi. na pia wanadsema alishitakiwa PIA na wmwanasharia mkuua wa serekalI lakini yeye weREma aMEKaRTIA rufaa.
stay tune.
hapo safi sana ufanyike mapema kabla ya vuguvugu la Arumeru halijapoa
This is childish...Tuna kindergatten humu eeh?
Mwezi mei tunafanya uchaguzi. Nimefanya rearch ya haraka haraka, nimekuta tayari CDM wana kura zaidi ya elfu tisini. Kwenye research yangu nimehusisha vyama peke yake.
dah! mkuu unalikata gogo nini? maliza kwanza ndo uposti labda una point at...kamam kuna typing aerror msnisamehe but abar za uhakioka kabsa noi kuwa Lea,ma aawachane na mpango Wa kukata rufanins kwani MagAmvba waTAchelewesha Kesi makKusiudi. na pia wanadsema alishitakiwa PIA na wmwanasharia mkuua wa serekalI lakini yeye weREma aMEKaRTIA rufaa.
stay tune.
rais huyu ameletwa kwenu na nec, kwa msaada wa watu wa usalama
LEMA G ackate RUFAN ; kec haitackizwa na jMOBO litakaa Bila mbuGne mpaka 215
Anazuiwa kwa sababu gani? Kuna suala la kutumia rushwa kama hukumu ya Waryoba dhidi ya Wassira?Kifungu kilichoandikwa ni tofauti na hukumu ya mdomo,take it from me
Hapa inakuwaje tena Lema alipie gharama za uchaguzi au ndo lengo la kumuua kiuchumi aonekane hana fedha za maendeleo jimbonj wanajua bado ni mbunge
Hizi gharama zote za uchaguzi anabebeshwa mwananchi, Lini tutaachana na hizi chaguzi ndogondogo.