preta,wana wa nchi wansemaje,i mean wananchi wa kawaida
Hizi ni hadithi za abunuasi.
CCM kushinda Arusha ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano.
Formula ni piga kura, linda kura.
Baada ya kuenguliwa ubunge wa Arusha,sasa bwana GODLESS LEMA anakabiliwa na pigo lingine kubwa ambalo wadadisi wa mambo wanaamini linaweza likamfanya ashindwe kutetea kiti chake na hivyo kushindwa kuingia bungeni! PIGO hilo linahusiana na yeye kuwaambia WANAARUSHA tangu achaguliwe miaka miwili iliyopita ameshawafanyia nini wanaARUSHA mpaka sasa? LEMA amekuwa akihaha huku na huko,kushiriki maandamano yasiyo na TIJA baada ya kujikita katika kuleta maendeleo na kutimiza ahadi, inadaiwa mpaka sasa lema hajafanya chochote arusha, utalii umeshuka kutokana na maandamano yake ya mara kwa mara,hili kwa kweli ni PIGO SANA KWAKE NA CHAMA KWA UJUMLA!
MYTAKE: KAMA CHADEMA WANAWEZA WAMSIMAMISHE MTU MWINGINE ARUSHA
maskini wa Mungu, eti ndo mchambuzi wa mambo huyu.
Wananchi/ wakazi wa Arusha tujipange kwa hilo pia.!
baada ya kuenguliwa ubunge wa arusha,sasa bwana godless lema anakabiliwa na pigo lingine kubwa ambalo wadadisi wa mambo wanaamini linaweza likamfanya ashindwe kutetea kiti chake na hivyo kushindwa kuingia bungeni! Pigo hilo linahusiana na yeye kuwaambia wanaarusha tangu achaguliwe miaka miwili iliyopita ameshawafanyia nini wanaarusha mpaka sasa? Lema amekuwa akihaha huku na huko,kushiriki maandamano yasiyo na tija baada ya kujikita katika kuleta maendeleo na kutimiza ahadi, inadaiwa mpaka sasa lema hajafanya chochote arusha, utalii umeshuka kutokana na maandamano yake ya mara kwa mara,hili kwa kweli ni pigo sana kwake na chama kwa ujumla!
mytake: kama chadema wanaweza wamsimamishe mtu mwingine arusha
hili kwa kweli ni PIGO SANA KWAKE NA CHAMA KWA UJUMLA!
MYTAKE: KAMA CHADEMA WANAWEZA WAMSIMAMISHE MTU MWINGINE ARUSHA
Ameshindwa kwa kosa lipi? Naomba mwenye taarifa kamili atujuze.
lema hajashusha utalii arusha, bali ni serikali ya ccm ambao wamekua wakiwatumia polisi kupiga mabomu wananchi, na vile vile maandamano arusha yameleta tija kwani alikuwa anapigania haki kuliko kuleta maendeleo bila haki haina tija