Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
magessa mulongo..,mkuu wa mkoa wa arusha..,na ndiye aliyeshinikiza kipindi flani godbless lema atupwe rumande

jaji gabriel rwakibira..huyu ndiye aliyepindua ubunge wa lema kwa kuhongwa na mafisadi

RC wa Arusha hamna kitu kabisa.
Ni rafiki wa Mkuu wa Kaya.
Ingawa nilikuwa nimemsahau kwa jina, lakini hebu wekeni CV yake hapa.
You will get a shock of your lives kujua mtu anayeongoza Jiji la Arusha.
 
Two things wakuu. Walipanga kufanya hila na hujuma Arumeru Mashariki ili washinde huku pia wakituwinda Arusha Mjini ili wafanye kama walivyofanya. Thinking yao ikiwa ni kulenga total demoralization kwa chama mbadala CHADEMA na upinzani wenye nguvu kwa ujumla dhidi ya Watawala. Arumeru Mashariki ikashindikana.

Bahati mbaya risk calculation zao ni mbovu sana. Hazifanyia kazi sawasawa kwa sababu wamefika mwisho. Huwezi kutegemea mahakama kushinda ubunge Arusha Mjini dhidi ya CHADEMA. Watu wa Arusha wanaamini kwa dhati katika hii struggle. Wanakiamini na kukipenda chama chao. Wako pamoja na mbunge wao. Wasubiri waone.
 
AND I QUOTE

"Lema katoka kuongea na ITV na RADIO ONE sasa hivi katoa msimamo wake lakini ametoa uthibitisho wa watu kama January Makamba alisema kuwa uchaguzi unarudiwa, Mwigulu Nchemba, Halima Mdee ameambiwa na mtu wa state house kabla na yeye alipigiwa simu na watu wausalama wakimtaka awe mvumilivu kwa lolote, then tangu asubuhi polisi walijaa maeneo mabalimbali ikiwemo walizunguka ofisi yake, HIVYO ANASEMA NI SHINIKIZO TOKA STATE HOUSE, msimamo atatoa baadaye baada ya kuongea na Wakuu wake mkoa na Taifa na pia ataongea na wananchi wake ila hataki kuwa mbunge wa rufaa au mahakama".

END OF QUOTE
 
Slaa ubunge si sizi yake mwache alee vijana wa kupambana na majukwaa
 
Chadema hata wakisimamisha jiwe dhidi ya mgombea wa ccm bado itashinda tu. So hakuna sababu ya kukata rufaa.
 
Lema kavulia ubunge rasmi...

Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
Tunaomba mtuwekee argument za Muheshimiwa Judge tuweze kujua logic manake sikuona taratibu zilizopindishwa zaidi ya mtu kusema sio mkazi, ni mjamzito na ataolewa na ana ujauzito wa EL.
Pia nitoe Ushauri kwa wanachadema, ili kuokoa fedha za walipakodi wakate rufaa manake kodi zetu zitachezewa na watawala kwa tamaa zao.
 
Kama watu wakiielewa kauli hii wala hakuna shida kabisa kuizika CCM, mimi nawasubili jimbo la Segerea, halafu hivi Majaji kama hawa hawalogeki hata kwa majini?.....nina babu yangu ana majini ya kutosha kabisa!!

Ushindwe na ulegeeeee! Tunaye Mungu tuliyeanza naye na tutakayemaliza naye! Achana na mambo ya KISHENZI ya kumtumainia mwanaadamu! Amelaaniwe mtu yule amtumainiaye mwanadamu!
Yaani umeniudhi sana sipati kusema!
 
This is an insult. Hapa mnamaanisha sisi hatutakiwi CDM, maana yake na narudia tena maana yake CDM ni chama cha kikristo na wakristo tu!!

mkuu, Rejao. kwani nyie uweza unatoka masaburini?
 
Haina sababu ya kunung'unika.Uchaguzi urudiwe na tuone matokeo tena.Kumbukeni kuna Segerea nako kama si Jaji kuhongwa naamini uchaguzi utarudiwa.Tuombe Mungu mambo yawe safi.Julai ngoma uwanjani.Segerea huenda kesi ikaisha May.Tupeni jina la jajii au hakimu aliyetoa hukumu tumuweke kwenye kumbukumbu na pia kwa wale wa karibu walete hukumu nzima ikibidi.
 
Ni kama vile Lema amepewa nafasi ya kuanza kampeni mapema za mwaka 2015.Ninashauku ya kumjua mgombea wa CCM niangalie uzani wake kwa Lema.Sioni wa kulichukua jimbo toka kwa lema.Sioni!Akina Milya sidhani kama wanaweza heavy weight politics za Lema.Sijui ni nani wa kushusha heshima yake tena ndani ya ccm kwenda kufungua na kufunga kampeni za CCM!Hukumu ya kesi hii in 3D imeipendelea chadema kwa kuipa nafasi tena ya kuthibitisha kuwa ccm inaelekea kufa.
 
hongera mheshimiwa jaji kwa maamuzi magumu! hakika umeonyesha weledi mkubwa katika kuchambua sheria, sheria ni msumeno kama mmeumia kwa hukumu basi mezeni panado
,
 
Duh noma sana! Mbona hapakuwa na ushahidi? je anaruhusiwa kugombea?
Hivi ni kwamba wewe hujasoma alichokiandika mleta uzi huu au unafanya kusudi? kama hujasoma unawezaje kuchangia? Mbona imejieleza wazi kabisa, au huna cha kuuliza?

Pole mpiganaji Lema. Haya ndiyo matokeo ya nchi kutawaliwa kwa mfumo uliojaa ufisadi. Hii inatuashiria kuwa mabadiriko ya mfumo wa kiutawala nchi hii ni lazima sasa yafanyike!! Wakati wa ukombozi ni sasa!!.
 
Post iliyopita kuhusu Polisi nilisema tutalivunja jeshi hilo na kuliunda upya. Kwa haya yanayotokea sasa katika mkondo wa Mahakama, kuna umuhimu wa kuangalia upya uteuzi wa majaji. Hawa wote walioteuliwa kwa kulipa fadhila ya kutetea mazambi ya CCM watapimwa upya na kama wakishindwa waondolewe.

Umuhimu wa katiba mpya ndio unonekana zaidi sasa. Kwamba katiba mpya lazima iainishe namna ya kupata majaji competent wasioteuliwa na Rais.
 
Poa sana Tanzania ndiyo nchi ya haki Lema kavuna alichopanda bado Mnyika.Jimbo tutachukua kwa mbinu zote
 
Nadhani sheria huwa aiangalii gharama kwa nchi, lakini Jaji ndiye anatakiwa atumie busara kwa kuangalia hali halisi na mazingira yaliyopo. Huyu Rwakibarila katoka Dunia gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…