nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,940
- 1,254
Uwizi ndio profession yakeHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Uwizi ndio profession yakeHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
We kibwengo kwenu ni wapi, na huko kwenu mnapigania nini, ulivyo mpumbavu natamani sana kufahamu huko kwenuHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Ni mtu na mkewe ile ni coupleZitto na Lucas hawatofautiani sana
Hivi kuna watu kweli wanamchukulia Zitto serious mpaka leo hii? Huyu jamaa ni firahuni sana na hafai kwenye jamii.
Mnafiki mkubwa huyo, msaliti kama yule wa BuguruniEti watalinda kura, kumbe hata wao hawana imani na tume pamoja na chama dola.
Wanangoja mgao wa wabungeEti watalinda kura, kumbe hata wao hawana imani na tume pamoja na chama dola.
Unapenda damu sana!Ila dunia nzima yule anayekwenda kinyume na wenzake kwa nia kuharibu nchi yake "anashughulikiwa" na ushahidi upo Dunia nzima. Kweli si kwel
Hi Kafulila nae ni wa kigoma? Hawa watu huwa wanapigania matumbo yao, refer Mwiaku, baba levo, diamond na chawa wengine wa ccmHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Ni trader mzoefu sana wa siku nyingi na pia ni Crypto investor. Ndio maana unamuona ana kiburi cha kuishi popote pale anapojiskia.Hivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Acha kabisa, baada ya Lissu huyu jamaa muha wa kigoma ndio alikuwa mtu anayefuata kwa kuukosoa uongozi wa JPM, jamaa alikuwa ana ujasiri sana ambao wengine hawakuwa nao, nakumbuka jinsi alivyokuwa anakosoa serikali ya JPM tena kwa takwimu, mpaka watu wakamuona huyu ni mzalendo wa kweli.Alimkosoa sa JPM. Siku hizi kawa kiziwi
Zitto bado anawatesa tu.
Chadema siku zote hawapendi mpinxani anayewazidi maarifa watayumia kila njia kumchafua
Damu HAIJAWAHI kumuacha mwanadamu. Ilianza kumwagika enzi za Abel na Kaini (watoto wa kwanza na wa pili wa Adam na Eva) hadi leo, kesho na keshokutwa itaendelea kumwagika!Unapenda damu sana!
Kuna mahali Zitto amesema CCM itawaachia majimbo? Kama ni hivyo kwa nini ahimize wananchi kulinda kura zao? Lema anapata wapi nguvu kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mbaya kuliko iliyotokea kabla hata haujafanyika? Utauzidi wa 2020? Au wa 2024? Na kipimo cha ubaya wa uchaguzi ni nini?
Mbowe alikuwa anapigania kitu gani!Hivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.