Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
- Thread starter
- #21
Akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto kabwe alikuwa sehemu ya ziara za Kikwete nje ya nchiUsiingize watu wote wa kigoma kwa kosa la MTU mmoja
Eliatonga Mrema alikuwa wa kigoma
John Mrema ni WA kigoma
Kuna mwingine pia wa huko anaweza kuingia kwenye hiyo list pia kama hatabadiki gia angani