coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,720
- 5,212
Crypto currenciesHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Crypto currenciesHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Tatizo wanazidisha. Kila anayekuja anataka afanye kuliko mtangulizi wake.
Wengine sio vijana, Mkuu. Sidhani kama wote wana matatizo ya akili. Tatizo ninalo ona mimi ni ushabiki uliopitiliza. Hii inawafanya kutokuwa tayari kuhoji matamko ya viongozi na mashabiki wenzao.vijana wengi wa Chadema wana matatizo ya Akili Mkuu
Kiukweli kabisa kuna kipindi CHADEMA huwa siwaelewi wanamaanisha nini. Mbowe aliwahi kuwa mbunge, Lema aliwahi kuwa mbunge, Heche aliwahi kuwa mbunge, Mdee, Sugu, Said Arifu, Mmyika, Sugu, Msigwa, Bulaya, Suzan, Nassari, Ndesamburo, Zitto, nk...tena kwa NEC ile! Huko nyuma kina Lanaai, Mrema, Mkosamali, Machali, Buyogera nk.
Nakubaliana nawe! Ukisoma hoja zako hapa chini ni dhahiri huelewi nini kinazungumziwa. Pole sanaKiukweli kabisa kuna kipindi CHADEMA huwa siwaelewi wanamaanisha nini.
Sio hao tu, wapo akina Kafulila, Mkosamali, James Mbatia, Mabere Marando, Lamwai, Cecil Mwambe, yule bwa wa Mbozi n.k.Mbowe aliwahi kuwa mbunge, Lema aliwahi kuwa mbunge, Heche aliwahi kuwa mbunge, Mdee, Sugu, Said Arifu, Mmyika, Sugu, Msigwa, Bulaya, Suzan, Nassari, Ndesamburo, Zitto, nk...tena kwa NEC ile! Huko nyuma kina Lanaai, Mrema, Mkosamali, Machali, Buyogera nk.
Hao wenye integrity unawapataje bila uchaguzi huru na wa hakiSwali, tunahitaji watu wenye integrity au jina la Tume ?
Walishinda nafasi hizo kwa mikiki lakini hali ya 2015 , 2019, 2020, 2024 ilibadili mwenendo wa siasaWalishindaje hizo nafasi tena kwa NEC ile ya watu kupita bila kupingwa? Ni ama CHADEMA hawajui wanachomaanisha au CCM na serikali haina wajenga hoja. Kama ni mifumo huru kwa asilimia 100 hiyo haipo duniani kote, ndiyo maana hata US Democrats wanalalamika Mrusi kumsaidia Trump kuingilia mifumo ya uchaguzi.
?!my position, tunahitaji watu waadilfu kwa sababu mifumo yetu iko sawa sana. 🙏🙏🙏