Godbless Lema ashangaa Porojo za Zitto Kabwe

Godbless Lema ashangaa Porojo za Zitto Kabwe

Aliyemuua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Bwana Olof Palme HAJAWAHI kupatikana licha ya kumuua nje ya ukumbibwa sinema na watu wakiwa wengi wanayoka sinema.

Aliyemuua J. F. Kennedy HAJAWAHI kupatikana.

Aliyemuuwa Princess Diana HAJAWAHI kujulikana hadi leo.

Nini Mzee Kibao bwana!???
so kwakuwa wazungu wanaoana wenyewe kwa wenyewe na wewe hata ukiolewa na dume mwenzio ni sawa au tusemeje?
 
Kwenda sawa na wenzako inakuwa vigumu hasa kama unalazimishwa kusema hakuna jua wala mwezi duniani huku ukijua ni ukichaa,, yaani ukubaliane na uongo ili mkubaliane kudanganya.
Dunia HAIJAWAHI kuwa fair hata siku moja. Ukishindwa ku comply utalazimishwa. Ukikataa wanafanya yao. Kasome kitabu cha The Prince!
 
Dunia HAIJAWAHI kuwa fair hata siku moja. Ukishindwa ku comply utalazimishwa. Ukikataa wanafanya yao. Kasome kitabu cha The Prince!
Inajulikana. Kwa hiyo tumwache aishi akiishikilia kweli halisi hata kufa kuliko kukubali uongo ili aneemeke. Anauelewa anchokifanya. Amechagua njia sahihi na kweli miongoni mwa wapotovu na waovu.
 
Hilo Lissu na mwenzake Amsterdam wanaweza kulijibu vizuri kuliko mimi.
na nchimbi je? hawezi kujibu hilo? maana alijifungia nao mchana kutwa. tuseme na nchimbi naye anaunga mkono USHOGA ama siyo? maana alionekana na mashoga jana
 
Inajulikana. Kwa hiyo tumwache aishi akiishikilia kweli halisi hata kufa kuliko kukubali uongo ili aneemeke. Anauelewa anchokifanya. Amechagua njia sahihi na kweli miongoni mwa wapotovu na waovu.
Kajifunze historia ya Socrates na ukweli !
 
Damu HAIJAWAHI kumuacha mwanadamu. Ilianza kumwagika enzi za Abel na Kaini (watoto wa kwanza na wa pili wa Adam na Eva) hadi leo, kesho na keshokutwa itaendelea kumwagika!

Swali jengine?
Damu HAIJAWAHI kumuacha mwanadamu. Ilianza kumwagika enzi za Abel na Kaini (watoto wa kwanza na wa pili wa Adam na Eva) hadi leo, kesho na keshokutwa itaendelea kumwagika!

Swali jengine?
Damu ya Abel ilimlilia Mungu,
Damu Haitakuacha salama kama KAIN ambavyo hakubaki salama, utalipa. Usitiwe upofu na kiburi cha uhai. Endelea kuflow tu muda utaleta majibu. everything thing change nothing remain the same!!
 
Wazanzibar wanampelekesha.

ACT walifanya kosa sana kumpa Osman Uwenyekiti. Kama Zanzibar walishapita No Election no Reform wao waendelee na uchahuxibhuko kwao wawachie ACT Wazalendo bara.

Hili swala la kulinda kura haiwezekani. Unless wanataka kusababisha vurugu siku ya uchaguzi. Hakuna mCCM atakayekubali kusacrifize nafasi yake unless huo mgao utokee huko juu kwa Maza.

na suala la CCM kufanya reforms pia haiwezekani, na sualala chademe akuzuia uchaguzi pia haiwezekani
 
na suala la CCM kufanya reforms pia haiwezekani, na sualala chademe akuzuia uchaguzi pia haiwezekani

CCM kufanya Reform siyo kwamba haliwezekani bali ni uoga na jeuri kuwa hakuna cha kuwafanya. But the bottom line ni kwamba CCM wameamua kujichukulia madaraka wenyewe bila ridhaa ya Watanzania.
 
CCM kufanya Reform siyo kwamba haliwezekani bali ni uoga na jeuri kuwa hakuna cha kuwafanya. But the bottom line ni kwamba CCM wameamua kujichukulia madaraka wenyewe bila ridhaa ya Watanzania.

hawakuanza leo, wameanza zamani sana
 
Kuna mahali Zitto amesema CCM itawaachia majimbo? Kama ni hivyo kwa nini ahimize wananchi kulinda kura zao? Lema anapata wapi nguvu kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mbaya kuliko iliyotokea kabla hata haujafanyika? Utauzidi wa 2020? Au wa 2024? Na kipimo cha ubaya wa uchaguzi ni nini?

Zitto yuko realistic kwa chama chake. Ni lazima wamefanya analysis ya majimbo ambayo wanaweza kushinda na yapi hawawezi. Kwa sababu hiyo ni busara kuwekeza nguvu katika majimbo ambayo wana matumaini nayo. Ni strategic thinking ambayo dunia yote wanatumia.

Amandla...

vijana wengi wa Chadema wana matatizo ya Akili Mkuu
 
Chadema acheni shobo kwa vyama visivyo vyenu, nyinyi mulitakiwa ku focus na harakati zen za kuzuia uchaguzi
 
Back
Top Bottom