Acha kabisa, baada ya Lissu huyu jamaa muha wa kigoma ndio alikuwa mtu anayefuata kwa kuukosoa uongozi wa JPM, jamaa alikuwa ana ujasiri sana ambao wengine hawakuwa nao, nakumbuka jinsi alivyokuwa anakosoa serikali ya JPM tena kwa takwimu, mpaka watu wakamuona huyu ni mzalendo wa kweli.
Haya sasa leo hii ambapo tuko kwenye awamu iliyogubikwa na ufisadi uliokithiri na mambo mengi ya ovyo, lakini jamaa yuko kimya utafikiri hayupo hapa nchini, yaan simuonagi kabisa akimkosoa Samia mpuuzi huyu.
Kama kuna mtu bado anamuamini na kumuheshimu Zito Kabwe basi ni mjinga sana, maana aneonesha wazi kabisa ni mchumia tumbo tu na hajali chochote kuhusu wanainchi na taifa kwa ujumla.