God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Basi atakuwa ni Mungu, maana mambo aliyorekebisha kwa utunzi wake yamekuja kugundulika hivi karibuni, mengine mwaka juzi kuwa ni ya ukweli.

Yani arekebishe mambo ambayo mwenyewe hakuwepo (Miaka 2000 kabla yake) halafu wanasayansi mwaka juzi ndio wagundue alikuwa sahihi...Huoni muujiza hapo?
Kaka hata utushawishi vipi hatuwezi kufuata imani ya MAARABU sisi tunafuata imani ya MAYAHUDI!!!
 
Biblia inasema Kina Yusufu na kina Ibrahim walikutana na Pharaoh..Quran inamtaja kama Mfalme wa Misri.

Wanahistoria wamefuatilia zile heilographs za wamisri na imegundulika kuwa kipindi cha Ibrahim na Yusufu title ya Pharaoh haikuwepo.
Kipindi hiko Walikuwa wanaitwa wafalme.

Pharaoh imeanza kipindi cha Mussa.
Na Quran imeanza kutaja pharaoh kwenye kipindi cha Mussa...Kwahyo Biblia ilikosea
Kaka hata kama ilikosewa hatuwezi kufuata dini ya kiislamu wala huyo Allah sisi Mungu wetu ni Yesu!!!!Tuache tu na imani yetu sio Lazima tuamini unachoamini kaka
 
Mtu kubadili imani sio ushahidi kiwa hiyo imani ni uongo.
Mbona wakristo wengi walisilimu na wanasilimu mpaka leo? Na hilo unasemaje??
Mbona una hoja dhaifu sana kijana??

Hao watu kuandika hizo Sura sio kitu cha kushangaa, kwasababu Muhamad alikuwa haandiki alikuwa anatafuta watu wanaojua kuandika anawadictetia imla.
Nata waislamu wanabadili dini pia tatizo liko wapi?????We are very proud Christian's wewe tuache tu na Yesu wetu ambae kwetu ni Mungu
 
Wew mbona unatunga mambo?
Wapi Quran imesema baba yake Musa ndio baba ake Maryam??

Mbona mnakaririshwa hzi point huko kanisani bila kupewa ushahidi??
Leo jion kamuulize basi mchungaji wako akupe hata kaushaidi
KAKA HATA UONGEE VIPI HATUWEZI KUFUATA IMANI ILIYOANDIKWA VITABUNI KWA LUGHA YA KIARABU!!!!SISI TUNAFUATA VITABU VILIVYOANDIKWA KWA LUGHA YA KIEBRANIA!!!WEWE KOSOA TUKANA ILA BIBLIA NDIO KITABU CHETU MPAKA TUNAKUFA HUWEZI KUTUBADILI KAKA
 
Look at the version called Aramaic Bible in plain English the same sentence is written as follows
Yeshua said to them: “Timeless truth I speak to you: Before Abraham would exist, I AM THE LIVING GOD.”


The saying; I'm the living God-- it is just among the spiritual parables Jesus spoke to people and I belive he took it from (Psalm 82:6) which runs; "I said, YOU ARE GODS", you are all sons of the most high but you will die like mere mortals. Jesus being the living God does not distinguish him from those who were also called "Gods", they were called so in the same spiritual sense.

Futher more , Jesus saying He is/was the living God, one can deduct that if a "living God" exist there must also be a Dead God., the words "living God" means Jesus possessed power of the holy spirit, the power which emanate from God himself, that is the spiritual meaning of the words.

Go and read Isiah 45:21-22, Jonah 3:5-10, to see who God is.

Numbers 23:19, says God is not man , Hosea () says; I'm God and not man"--- in many places in the Bible Jesus is refered to as a man, John 8:40 says; "a man who has told you truth", meaning Jesus was not more than a man. also we read in Timotheo 2:3; "the man Jesus Christ".

As you may recall during crucifixion while on the cross Jesus cried loudly with pangs; "Eloi Eloi lamasabchtan", meaning Oo God, ooo God why forsake me???!!, Jesus being God, as you claim, then who was Eloi??
 
Basi hata Quran sio mali ya mtu na sisi tunaon Quran ni kitabu kimekopi bibl

Yesu ni mtu, alikunya na kulala kama wewe tu
Hata kama alikunya na kulala ndio imani yetu kaka na ni Mungu Kwetu na biblia ni kitabu chetu kitakatifu tutakufa tukiwa wakristo!!!Endelea kutukana tu ila Hatuwezi kua waislamu kaka!!!!Ubarikiwe
 
Wayahudi sio wakristo.
Sema unafata imani ya mashoga wazungu
Tunatumia torati na vitabu vyetu vinamzungumzia Mungu JEHOVAH ambae ni Mungu wa wayahudi pia sio ALLAH!!Kuhusu mashoga mdogo wangu sio ulaya tu nilienda Jeddah na Riyadh katika Jamuhuri ya Kiislamu ya ufalme wa Saudi Arabia nikawakuta pia hata Indonesia especially Jakarta wapo wengi tu na ni nchi yenye waislamu wengi!!!Sema mashoga wa ulaya wanajionyesha ila arabuni wanajificha ila wote mashoga!!!Zunguka dunia mdogo wangu ujionee kutukana sio uungwana mdogo wangu
 
Mungu hajawahi kuzaa mkuu.
Alifanya mapenzi na nani?
HUWEZI KUTUBADILI IMANI YETU!!!YESU NI MTOTO WA MUNGU NA NI MUNGU KWETU!!!!HATUJAKULAZIMISHA UAMINI!!!NI IMANI YETU!!!!FATILIA QURAN YAKO BIBILIA TAKATIFU TUACHIE SISI!!AND WE ARE VERY PROUDLY CHIRISTIAN,S ALL OVER THE WORLD!!!SAWA MDOGO WANGU
 
Tunatumia torati na vitabu vyetu vinamzungumzia Mungu JEHOVAH ambae ni Mungu wa wayahudi pia sio ALLAH!!Kuhusu mashoga mdogo wangu sio ulaya tu nilienda Jeddah na Riyadh katika Jamuhuri ya Kiislamu ya ufalme wa Saudi Arabia nikawakuta pia hata Indonesia especially Jakarta wapo wengi tu na ni nchi yenye waislamu wengi!!!Sema mashoga wa ulaya wanajionyesha ila arabuni wanajificha ila wote mashoga!!!Zunguka dunia mdogo wangu ujionee kutukana sio uungwana mdogo wangu


Mashoga waliojificha wa uarabuni na huko Indonesia wewe uliwajuaje??-- kumbuka umesema; "mashoga waliojificha".
 
Nani alikwambia Mungu wa wakristo nature yake ni human flesh?
Yesu kwetu ni Mungu na huyo Allah ni wenu sio sisi!!!!
Those Biblical verses you have presented shows how the Jews misunderstood Jesus thinking him to claim Godship, that is why they even desire to stone him to death for the "blasphemy", if you read the verses deeply you will understand that what you claim that Jesus was God is the same wrong claim the Jews had on Jesus.

They, by mistake regarded Jesus made himself equal to God or rather God himself, by quoting the verses as your defense you repeat the same mistakes of thinking Jesus called/ made himself God as the Jews did.

Mashoga waliojificha wa uarabuni na huko Indonesia wewe uliwajuaje??-- kumbuka umesema; "mashoga waliojificha".
Nimeishi huko kaka na vijana wa kiarabu wengi ni mashoga kuliko wazungu!!!Sena wanajificha sababu serikali zao hazijaruhusu!!!!!!Tembea uone mdogo wangu dunia ipoje
 
Yesu kwetu ni Mungu na huyo Allah ni wenu sio sisi!!!!



Nimeishi huko kaka na vijana wa kiarabu wengi ni mashoga kuliko wazungu!!!Sena wanajificha sababu serikali zao hazijaruhusu!!!!!!Tembea uone mdogo wangu dunia ipoje


Hujanijibu!!, "Mashoga waliojificha" unawajuaje??-- how dou you unveil a veiled object??, ni mbinu gani ulitumia kuwafichua hao mashoga waliojificha hadi ukagundua kwamba hao ni mashoga??
 
HUWEZI KUTUBADILI IMANI YETU!!!YESU NI MTOTO WA MUNGU NA NI MUNGU KWETU!!!!HATUJAKULAZIMISHA UAMINI!!!NI IMANI YETU!!!!FATILIA QURAN YAKO BIBILIA TAKATIFU TUACHIE SISI!!AND WE ARE VERY PROUDLY CHIRISTIAN,S ALL OVER THE WORLD!!!SAWA MDOGO WANGU
Sasa mbona hujibu swali?? Mungu alifanya mapenzi na nani akamzaa yesu?
 
Hiyo fatwa ni kweli kwa sababu Allah hana nature sawa na alivyoviumba maana ametakasika na sifa ya vyote alivyoviumba sasa ukisema ana roho hapo unamfananisha na viumbe alivyoviumba.

In short you don't give the king his utmost respect and there is only one king and the king is ALLAH (The exalted one).

Ila ningependa kujua ilitolewa na shaikh gani?
Fatwa inatolewa na jopo sio mtu mmoja,
Allah ni physical na hana Roho , moja kwa moja anakuwa ni statue
 
Kingine Ningependa kuzisoma hizo hadith zinazosema wakristo walimuandikia weka angalau moja 😂 yap moja tu mkuu .
Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
 
Back
Top Bottom