God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Kivipi?
Yeye alielekezwa cha kuandika...yani alikuwa ananakili tu.

Wapi Quran imesema baba yake Musa ndio kamzaa mama ake Yesu?
Alikuwa anaandika vitu ambavyo Muhammad alikuwa hajui , ndio sababu kubwa ya yeye kuachana na Uislamu

Imran baba yake Musa harun na Maryam
Ndio amekuwa baba yake Maryam Alie mzaa Isa

Apo mwamba alimuingiza chaka Muhammad
 
Wew mbona unatunga mambo?
Wapi Quran imesema baba yake Musa ndio baba ake Maryam??

Mbona mnakaririshwa hzi point huko kanisani bila kupewa ushahidi??
Leo jion kamuulize basi mchungaji wako akupe hata kaushaidi
 
Mtaje jina baba yake harun na baba yake Mariam aliemzaa Isa
 
Yohana 4:24: "Mungu ni roho, na watu wanaomwabudu lazima wamwabudu kwa Roho na kweli."
Maana yake Mungu wenu ni kiumbe ? Kuna roho isiyo na umbile ?

Kingine Yohana hizi habari za kusema Mungu ni Roho alizipata toka kwa Yesu au kwa nani ?
 
Maana yake Mungu wenu ni kiumbe ? Kuna roho isiyo na umbile ?

Kingine Yohana hizi habari za kusema Mungu ni Roho alizipata toka kwa Yesu au kwa nani ?
Nani kasema ni kiumbe , Mungu wa wakristo ni Roho

Na Allah ni physical being

Mada haisemi tunahoji yohana alipo pata maandiko , anzisha mada Yako ukihoji maandiko
 
Wapi character imechanganywa?
Kwa hiyo unataka kusema huyo mkristo Alie andika hiyo surah hakujua kutofautisha harun na Mariam Alie mzaa Isa kumbuka Imran nae alikuwa na mtoto anaitwa Mariam hapa ndipo character walipo changanywa

Na wayahudi walimfuata Muhammad wakamwambia anachanganya maandiko yao na anachanganya majina
 
𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)

𝐁𝐮𝐭 𝐬𝐡𝐨𝐮𝐥𝐝𝐧'𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐞 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐞𝐚𝐝?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. “He who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

𝐑𝐞𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐢𝐭𝐞𝐦𝐬 𝐨𝐧𝐞 𝐛𝐲 𝐨𝐧𝐞. 𝐀𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐲𝐬 𝐢𝐧 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐯𝐞𝐫𝐬𝐞𝐬. 𝐓𝐨 𝐫𝐞𝐚𝐝! 𝐋𝐨𝐨𝐤! 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤! 𝐔𝐬𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐦𝐢𝐧𝐝!View attachment 2457590
Waonyesha uislamu umekukaa sana ukifa ukienda peponi mwanaume wewe kwa mujibu wa Kurani Allah atakupa wanawake mabikira 72 ambao hawajaguswa na mwanaume yeyote ujinome wewe

Swali Mwanamke Muislamu safi akienda Peponi Allah atampa nini ajinome na yeye?
 
Back
Top Bottom