God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

KAMA KUNAMTU HAMUAMINI YESU HUYO AMEPOTEA.

TUNAWASISTIZA HAPA KILA SIKU
 
Sawa ila Mimi naujua ukweli na ninajua uislam ni nini,,Seedorf hajataka kuujua uislam kabla hajauendea lakini angeenda na tahadhari ya kuujua kwanza asingeukubali,,,,na ukitaka kulijua hili Sasa hivi ndio atakuwa anaanza alifu. Yuko na walimu ndio wanamfundisha uislam ni nini,,ila yeye Hana knowledge yoyote..Ni kama mtu alieletewa mwanamke kijijini kamuoa ndio anaanza kumjua.Kumbe alitakiwa amjue kwanza.Same apply to Etoo.
Acha porojo ww kwaio unataka kutwambia mpk hao watu wanasilimu hawajui nini wanakiendea kwenye Uislamu?
Au ww ni wakala wa seedorf na Etoo smbae unajua siri zao?
Hhhhhhhhhh pole sana mgalatia na kwa hakika mumepotea mnomuamini binadamu mwenzenu kua ni Mungu

Yn 8:40 SUV

Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
 
Thibitisha hakuna Mungu isipokuwa Allah
Hakuna Mungu ispokuwa Allah ( the all powerful ) sasa nyie mnamnasibisha na yesu hapo ndipo kosa lenu lilipo hebu someni kutafuta ukweli na si kushabikia ushabiki hewa usio na faida.
 
Yn 8:40 SUV

Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
Yani mafuvu yenu mnataka kuyatumia kuyapigiza chini tu

Mungu wa wakristo ni Roho , jifunze ata kama unakaza li fuvu , Yesu alikuwa anatumia human flesh na human flesh ndio inakufa
 
Acha porojo ww kwaio unataka kutwambia mpk hao watu wanasilimu hawajui nini wanakiendea kwenye Uislamu?
Kumbuka Andrew Tate alibadili akawa muislamu ili Aishi maisha kama ya Muhammad, mademu kupiga mbupu watoto kufanya biasha ya utumwa

Mwisho wa siku katiwa nguvuni na matendo yake ya kumuiga muhammad
 
Acha porojo ww kwaio unataka kutwambia mpk hao watu wanasilimu hawajui nini wanakiendea kwenye Uislamu?
Au ww ni wakala wa seedorf na Etoo smbae unajua siri zao?
Hhhhhhhhhh pole sana mgalatia na kwa hakika mumepotea mnomuamini binadamu mwenzenu kua ni Mungu

Yn 8:40 SUV

Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
Hivi Etoo au huyo seedorf kuna mahali walishaonekana wakienda kanisani?? Maana hata ukristo wenyewe watakuwa hawaujui ni nini?? kwa hio hata uislam wenyewe hawaujui,,wameuendea na ndio wanajifunza,,,,maana yake ndio wameingia kwa mara ya kwanza kwenye kuuamini Mungu...Sema wamemuamini Mungu wa Uwongo Ambae hakuwaumba/wala hajawahi kuumba binadamu ila anataka wamuabudu tu.
 
Ni hatari sana..... Unajua hata waislam wenyewe wengi hawajui mambo haya....wanakaririshwa tu mistari basi. Hawasomi. Wengi wamekuwa wakinifuata private na kushtushwa na haya mambo. Wanasema au jamaa unatudanganya. Nawaambia someni wenyewe. Wanasoma wanarudi wanashangaa sana.... Na ndo maana Salman Rushdie walitaka muua sababu ya kuandika kitabu aya za kishetani. Muhamad ana uchafu mwingi sana. Na ndo maana huwa tunawaambia Wakristo Alla si sawa na Mungu wa Wakristo. Hawafanani hata kidogo.
Mohamad namuonaga kama muhuni flani hivi... Kwanza jamaa anaonekana alikuwa anapenda sana wanawake.... mpaka akala katoto ka miaka 9.

Hata ahadi alizowapa wafuasi wake ni wanawake 72 mabikiria peponi...
 
"Roho wetu" anayezungumziwa hapo ndiye Roho mtakatifu, ni roho mtakatifu ndiye Mungu anaweza kumfanya akawa na umbo la kiumbe hai yeyote.
Roho wa Alah ndio Roho mtakatifu tena?

Nyie jamaa aisee.... Hahahaha

Hivi Quruan yenu haiwezagi kabisa kujisimamia yenyewe bila kuegemea kwenye Biblia?
 
Roho wa Alah ndio Roho mtakatifu tena?

Nyie jamaa aisee.... Hahahaha

Hivi Quruan yenu haiwezagi kabisa kujisimamia yenyewe bila kuegemea kwenye Biblia?

Mbona macho na mishipa inakutoka!! , kwani Biblia ni mali ya Baba yako??,
 
In Christianity God is Spirit not Flesh...you need to understand Christianity Jews understand christianity better than muslims,
 
Jifunze kujibu
Koran 92 Allah akiapa
Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Allah anapenda sana Kiume na Kike.
Hadi ana viapia.
Allah Noma Sana Aieseh.
 
Back
Top Bottom