God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)


𝐁𝐮𝐭 𝐬𝐡𝐨𝐮𝐥𝐝𝐧'𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐞 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐞𝐚𝐝?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. “He who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

𝐑𝐞𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐢𝐭𝐞𝐦𝐬 𝐨𝐧𝐞 𝐛𝐲 𝐨𝐧𝐞. 𝐀𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐲𝐬 𝐢𝐧 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐯𝐞𝐫𝐬𝐞𝐬. 𝐓𝐨 𝐫𝐞𝐚𝐝! 𝐋𝐨𝐨𝐤! 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤! 𝐔𝐬𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐦𝐢𝐧𝐝!View attachment 2457590
Mimi ni mkristo ambaye huwa nikisoma biblia naona wazi kwamba Yesu ni tofauti kabisa na Mungu...sasa haya umeyaandika naona ni uongo tu, unanishaurije
 
Ushahidi upo alikuwa sio kiziwi

Na pia Hadith mmeweka mkristo alikuwa anamuandikia
Ni amesema alikuwa kiziwi ? Kijana tuliza akili.

Nimekuuliza mtu asiye jua kusoma wala kuandika, aliwezaje ku copy ?

Thibitisha huyo mtu alivyokuwa akimuandikia Mtume alikuwa Mkristo.
 
Ni amesema alikuwa kiziwi ? Kijana tuliza akili.

Nimekuuliza mtu asiye jua kusoma wala kuandika, aliwezaje ku copy ?

Thibitisha huyo mtu alivyokuwa akimuandikia Mtume alikuwa Mkristo.
Kasome Hadith nimeweka ,
Kama hakuwa kiziwi ndio alikuwa ana copy story za wayahudi kwa kusikia

Akasaidiwa na waraq na huyu mwingine alieandika surah 2 ndefu

Mungu akamsadia akarudi zake Kwenye ukristo
 
Kasome Hadith nimeweka ,
Kama hakuwa kiziwi ndio alikuwa ana copy story za wayahudi kwa kusikia

Akasaidiwa na waraq na huyu mwingine alieandika surah 2 ndefu

Mungu akamsadia akarudi zake Kwenye ukristo
Thibitisha Sasa hilo.

Waraqah alimsaidia kuandika nini ?

Maana yake huyo aliandika akiwa Muislamu, Sasa kwanini uliandika uongo kwamba alikuwa Mkristo ? Umeona ulivyo kuwa zwazwa ?!
 
Thibitisha Sasa hilo.

Waraqah alimsaidia kuandika nini ?

Maana yake huyo aliandika akiwa Muislamu, Sasa kwanini uliandika uongo kwamba alikuwa Mkristo ? Umeona ulivyo kuwa zwazwa ?!
Tulia, alikuwa mkristo akajiunga na Muhammad akawa (wakristo usomi ni toka enzi ) anaandika alivyo ona anaandika Muhammad hajui chochote anacho andika akaona jamaa ni kanjanja

Akatubu akarudi kwa Yesu , ila ndio hivyo amesha acha maandiko ya uongo ila alipata wokovu
 
Thibitisha Sasa hilo.

Waraqah alimsaidia kuandika nini ?
Waraka alikuwa mkristo na ndie alikuwa anaandika injili kwa kiaarabu na yeye ndie alikwambia Muhammad kanyongwa na jibril na mke wa Muhammad ndie alimtangazia Muhammad ni mtume
 
Huyu mkristo aliandika surah 2 ndefu za kwenye Koran , badae akatubu akarudi kwa Yesu , ila akasema wazi Muhammad hajui chochote nilicho mwandikia , mwisho wa siku akafa kifo Cha kutatanisha ikawa kila akizikwa anafukuliwa,

Ki msingi kipya Cha Muhammad ni mapepo kukiri ni waislamu na mtume wao ni Muhammad na yakasema yanatumwa kwa wakristo yakawadhuru

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
Narrated Anas: There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: Muhammad knows nothing but what I have written for him. Then Allah caused him to die, and the people buried him, but in the morning they saw that the earth had thrown his body out. They said, This is the act of Muhammad and his companions. They dug the grave of our companion and took his body out of it because he had run away from them. They again dug the grave deeply for him, but in the morning they again saw that the earth had thrown his body out. They said, This is an act of Muhammad and his companions. They dug the grave of our companion and threw his body outside it, for he had run away from them. They dug the grave for him as deep as they could, but in the morning they again saw that the earth had thrown his body out. So they believed that what had befallen him was not done by human beings and had to leave him thrown (on the ground).
 
Mimi ni mkristo ambaye huwa nikisoma biblia naona wazi kwamba Yesu ni tofauti kabisa na Mungu...sasa haya umeyaandika naona ni uongo tu, unanishaurije

Mkuu inabidi ufanye namna ufanye research zaidi tafuta materials za scholars wa Kikristo watakusaidia kufahamu Imani kiundani zaidi yaani utakuwa unasoma maandiko na context zake zilivyo unaweza kuanzia na hizi website 👇

http://shamounian.com/ (nenda kwenye menu pale utachagua unataka majibu ya maswali Gani)

na pia Kuna hii 👇itakusaidua pia



ILA KWENYE ULICHOJIBU INATEGEMEA NA ULICHOKIMASNISHA

Iko hivi katika biblia takatifu neno MUNGU likitumika independent mara nyingi limemaanisha kuwa GOD THE FATHER kwahiyo ukisema kuwa Yesu sio God the Father unakuwa unapatio kabisa kwa 100%.

Pia hata wayahudi walikuwa wanalijiwa Hilo na ndiyo maana walitambulika kama watoto wa MUNGU maana katika Imani ya kiyahudi wao pia MUngu humwita BABA (God the Father) na wao hujiita watoto wa MUNGU.

Pia katika Imani ya kikristo, Kuna MUNGU mmoja ambaye anaexist in three person's yaani God, WORD(his word) and SPIRIT(his spirit), yaani kama wewe unavyoexist in three persons yaani MWILI WAKO,NAFSI YAKO NA ROHO YAKO, vyote hivyo ni WEWE.


Mfano mtu akifa MWILI WAKE anauacha duniani na ROHO/NAFSI inaenda mahala pengine kusubiri hukumu, kwahiyo Ile ROHO/NAFSI itakapoenda kusubiri hukumu Ile ROHO/NAFSI inayosubiri hukumu ni WEWE na hata mwili uliobaki duniani pia ni WEWE.

Kwahiyo ROHO YAKO ni WEWE, NAFSI YAKO ni WEWE na MWILI wako ni WEWE.

Tofauti kati yako wewe na MUNGU ni kwamba wewe huwezi kujigawanya ukasema ROHO yako uipeleke kigoma, MWILI wako uupeleke singida halafu NAFSI ikakae mbeya, yaani huwezi kuexist sehemu tatu at the same time kwa matakwa yako utaweza kuexist sehemu mbili tu kwa uwezo wa MUNGU yaani pale mtu akifa anauacha MWILI duniani na ROHO/NAFSI zitaenda mahala kusubiri hukumu.

Refer to Thessalonians 5:2

May God himself, the God of peace, sanctify you through and through. May your whole SPIRIT, SOUL and BODY be kept blameless at the coming of our Lord Jesus Christ.



Zingatia Kwenye Imani ya Kikristo, neno MUNGU likitumika independent maana yake linamaanisha God the Father.


Kumbuka pia kwenye Imani ya Kikristo huyo MUNGU anayeexist in three persons yaani God,his Word and his SPIRIT, Sasa alichokifanya MUNGU ni KUJA duniani kupitia his Word, ambapo his word(neno wa MUNGU) ndo akafanyika kuwa Yesu ambaye ni mwanadamu kamili kwa 100% ambaye ndani yake pia ni neno wa MUNGU, na hivyo yeye pia ni MUNGU,

REFER TO JOHN 1:1 In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.

Na ndiyo maana kwa wakristo wote Yesu ni MUNGU aliyeshuka na kuwa binafamu kamili kwa asilimia mia Ili KUJA kushare na wanadamu matendo matakatifu na kuonyesha mfano vile ambavyo binadamu anapaswa kuishi na pia alikuja kuukomboa ulimwengu kutoka katika uovu na pia alikuwa crucified msalabani na kufa na siku ya tatu kufufuka Ili wanadamu tupate kusamehewa dhambi as the bible said mshahara wa dhambi ni mauti, kwahiyo ilikuwa dhambi lazima ilipiwe na mauti na hayo mauti ndo yaliyoukuta mwili wa Yesu.


Kwahiyo unaposikia kusulubishwa juwa kuwa umesulubishwa mwili wa binafamu ambao ndio mwili wa Yesu ambaye ni neno wa MUNGU ambaye pia ni Mungu ambaye alishuka duniani na kuwekwa ndani ya bikira maria na Kisha kufanyika kuwa mwanadamu mwenye uanadamu kwa asilimia mia na akiwa na neno wa MUNGU ndani yake.

Word of God ( Yesu) Aliset aside utukufu wake na kujihumble ili aje kushare na binadamu Yale matendo ya kiungu na ndiyo maana wakati Yesu anarudi Mbinguni aliwmwambia MUNGU ( God the Father/his father) Nitukuze Ili nami nikutukuze katika utukufu ambao Yesu wote walikuwa nao (God and His word) kabla hata ulimwengu haujaumbwa.


REFER TO John 17:1-5After Jesus said this, he looked toward heaven and prayed:

“Father, the hour has come. Glorify your Son, that your Son may glorify you. 2 For you granted him authority over all people that he might give eternal life to all those you have given him. 3 Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent. 4 I have brought you glory on earth by finishing the work you gave me to do. 5 And now, Father, glorify me in your presence with the glory I had with you before the world began.

Na hakuna binadamu anayeweza mwambia MUNGU (God the Father) kuwa MUngu Nitukuze kwa maana MUngu hatukuzi binadamu ila binadamu ndo humtukuza Mungu lakini kwa Yesu ilikuwa sawa kwakuwa Yesu ni Neno na Neno ni Mungu

Refer to JOHN 1:1 In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
NOTE: that Word that was there in the beginning ndiye aliyekuja kufanyika na kuwa mwili wa Kristo Yesu na hiyo God iliyotumika hapo independent ndiyo God the Father.

Pia kumbuka kuwa that Word of God ndiyo iliyokuja kufanyika kuwa mwili wa Yesu ambaye ni mwana wa God the Father, bila kusahau kuwa alifanyika kuwa mwili wa binadamu (mwili wa Yesu) kutoka kuwa Word of God, so Word of God ambayo pia ni God ndiyo ilifanyika kuwa mwili wa binadamu ambaye ni Yesu na ndiyo maana katika Imani ya Kikristo Yesu ni GOD in Flesh yaani ni 100 percent binadamu na pia MUngu kwa maana Neno wa MUNGU ndiyo aliyofanyika kuwa binadamu ambaye ni Yesu na ndiyo maana hata Yesu alikuwa anasamehe dhambi

REFER TO Matthew 9:2, ESV: And behold, some people brought to him a paralytic, lying on a bed. And when Jesus saw their faith, he said to the paralytic, “Take heart, my son; your sins are forgiven.”

Na hicho ni kitu ambacho Mungu tu anaweza fanya lakini Yesu alifanya kwa maana Yeye si tu binadamu kwa asilimia Mia Bali pia Kuna Uungu ndani yake na hakuna hata nabii Wala mtume yeyote kwenye biblia aliyewahi kusamehe dhambi ila Yesu aliweza kwakuwa yeye hakuwa nabii tu Bali ni Mungu pia.

KWAHIYO MKUU KAMA WEWE NI MKRISTO LAZIMA UJUWE KUWA KWENYE UKRISTO MUNGU NI MMOJA NA ANAEXIST IN THREE PERSONS KAMA NILIVYOKUELEZA HAPO JUU NA PIA UNAWEZA KUREFER MAANDIKO HAYA


1 JOHN 5:7 For there are three that bear record in heaven, the Father( God the Father), the Word(Jesus), and the Holy Ghost(holy spirit) and these three are one.

1 Yohana 5:7 NEN

Kwa maana wako watatu washuhudiao[ mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni umoja.

Note that:Nimemjibu MKRISTO so sitaki mabishano na mtu yeyote nimemuelekeza tu juu ya Imani yake pasipo kigusa au kutaja Imani ya upande mwingine.
 
Tulia, alikuwa mkristo akajiunga na Muhammad akawa (wakristo usomi ni toka enzi ) anaandika alivyo ona anaandika Muhammad hajui chochote anacho andika akaona jamaa ni kanjanja

Akatubu akarudi kwa Yesu , ila ndio hivmesha acha maandiko ya uongo ila alipata wokovu
Weka ushahidi unaonyesha alipo kuwa na Mtume alikuwa ni Mkristo. Nasubiri ushahidi.
 
Waraka alikuwa mkristo na ndie alikuwa anaandika injili kwa kiaarabu na yeye ndie alikwambia Muhammad kanyongwa na jibril na mke wa Muhammad ndie alimtangazia Muhammad ni mtume
Weka ushahidi.
 
Weka ushahidi unaonyesha alipo kuwa na Mtume alikuwa ni Mkristo. Nasubiri ushahidi.
Story inaeleweka , ila mwamba ndio aliechanganya majina kwenye surah ya Imran alivyoona anaandika tu na Muhammad hajui alicho andika akaona Muhammad ni kanjanja

Akarudi kwa Yesu
 
Story inaeleweka , ila mwamba ndio aliechanganya majina kwenye surah ya Imran alivyoona anaandika tu na Muhammad hajui alicho andika akaona Muhammad ni kanjanja

Akarudi kwa Yesu
Hivi Qurani haiwezi kujitegemea ?
Ijitegemee bila kuitaja Biblia.

Ibaki na mtume wake na Mungu wake na Majini yake ?

Biblia wanasema imechakachuliwa basi na waiache.
Qurani ijitegemee yenyewe izungumzie hiyo dini yao ya haki.
 
Hivi Qurani haiwezi kujitegemea ?
Ijitegemee bila kuitaja Biblia.

Ibaki na mtume wake na Mungu wake na Majini yake ?

Biblia wanasema imechakachuliwa basi na waiache.
Qurani ijitegemee yenyewe izungumzie hiyo dini yao ya haki.
Issue ni kwamba Muhammad aliletwa na Lucifer ili ampinge Yesu , ndio unaona kaweka ujanja wa kuchukua character wa wayahudi na Kuweka kuwa wake

Ila kikubwa ni kumtambulisha shetani na mapepo kwamba ni waislamu safi
 
Dini ziko nyingi sana.
Nashangaa Qurani inaimba Biblia tu basi.
Ifuate hizo dini nyingine na ibaki hivyo.
Sisi tunao soma Biblia hatuitaki kabisa Qurani.
Dini ya Majini.
Sisi tunaiona Qurani kama dini ya Shetani na malaika zake Ibirisi.
Tunaiona Qurani kama kitabu cha uchawi halisi.
Kama Allah anavyosema hapa

Surah Al-An'am :Ayah 7

وَلَوۡ نَزَّلۡنَا عَلَيۡكَ كِتَٰبٗا فِي قِرۡطَاسٖ فَلَمَسُوهُ بِأَيۡدِيهِمۡ لَقَwالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا سِحۡرٞ مُّبِينٞ
Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.
 
Hivi Qurani haiwezi kujitegemea ?
Ijitegemee bila kuitaja Biblia.

Ibaki na mtume wake na Mungu wake na Majini yake ?

Biblia wanasema imechakachuliwa basi na waiache.
Qurani ijitegemee yenyewe izungumzie hiyo dini yao ya haki.
Ili kuondoa mganganyiko unatupa biblia na quran na unamtafuta Mungu mwenyewe very simple.maana huyu Mungu wa kumpatia picha yuko hivi yuko vile mtateseka sana
,Huwezi mtafuta Mungu upo naye hapo we ishi tu, ukimtafuta maana yake unamkimbia,God is inside everything is TOTALITY
 
Muhamadi baada ya kutoka pangoni na kupigwa sana hadi kulazimishwa kusoma neno Soma.
Alikili kuwa
Huko pangoni nilitokewa na Ibirisi Shetani na akanizuga.

Sasa sisi tutamwaminije aliye tumwa na Shatani.

Kama alitokewa na Malaika naomba hiyo Aya.

Waislamu bakini na Majini yenu.
Sisi hatuyayaki.
Bakini na mtume wenu, na Dini yenu na Allah wenu.

Kwanini mlazimishe mungu wenu awe huyo huyo wa kwenye Biblia ?

Kwani mungu wenu hajitosherezi.
Aya yenu inasema
Hamwabudu tunaye mwabudu.
Mungu wenu sio Mungu wetu.

Sasa shida iko wapi ?
Bakini na Allah wenu, mungu wenu aliye waagiza.
Mlisujudie jiwe Jeusi la Maka.
Mswali kwa Kiarabu tu.
Muwasujudie mabinti wa Allah akina Uzza.
Muweke sanamu za nyota na mwezi misikitini.
Mujiunge na Dini ya Majini.
Muswali sala tano.
Kibra yenu iwe katika mji wa Maka

Muswali na Tasbihi.
Muwaendee wake zenu mnavyo taka. Ndio mashamba yenu.

Muwaue wasio Waislamu.

Basi mtekeleze hayo inatosha.
Biblia mnaitaka ya nini ?
 
Bakini na Dini yenu ya Majini.
Inatosha.
Msi iguse Biblia iliyo chakachuliwa.
Bakini na Qurani yenu tu na inatosha
Na mungu wenu Allah.
 
Back
Top Bottom