Allah ni physical being na fatwa imeshapitishwaAllah is neither spirit nor physical being he is beyond those puny existances .
Because he created them both.
Allah ni physical being na fatwa imeshapitishwaAllah is neither spirit nor physical being he is beyond those puny existances .
Because he created them both.
Hujaleta aya mpaka sasaNitaleta aya zote ili majibu yafuatane na aya, vuta subira
Wewe ndio hujui , Gabriel alienda kuoeleka habari
Roho mtakatifu sio Gabriel na hakuna popote palipo andikwa ni Gabriel
Pia kwenye Koran Koran nzima hakuna palipo andikwa jibril ndie Roho mtakatifu ni utunzi wenu tu mmekuja nao
Allah kasema elimu ya Roho waislamu mmenyimwa wewe nani unajifanya kumzidi AllahThe identity of Holy spirit To understand the identity of holy spirit in the bible let us see what the God in the old testament says. God in old testament says .
Isaiah 44;3 . For I will pour water on the thirsty land and streams on the dry ground I will pour out my Spirit on your offspring and my blessing on your descendants.
Joel 2:28 (RV) I will pour out my spirit upon all flesh and your sons and your daughters shall prophesy.
Hence . In Judaism Hebrew . ruach ha kodesh Holy spirit refers to divine aspect of prophecy and wisdom
What does Islam says on the aspect of Arabic Ruh al Quds or Holy spirit
What does Quran says God in Quran says to angels
Quran 15:29 . When I have fashioned him (in due proportion) and breathed into him of My Spirit fall ye down in obeisance unto him.
A scholar of Islam says . breathed of My spirit into him. cast a reflection of My Divine characteristics on him.... This shows that the soul of man implies life knowledge power will discretion and other human characteristics in the aggregate. These are in reality a slight reflection of Divine characteristics that has been cast on the human body which was originally created from dried clay.
So one can say that Holy spirit signifies wisdom and some other divine characteristics in both religions.But christians had raised him to the level of God or made it God.
Man should not try to be too curious and try to obtain the knowledge of things which will do no good to Him Hence in God says in Quran
Quran 17:85 . They ask thee concerning the Spirit (of inspiration). Say The Spirit (cometh) by command of my Lord of knowledge it is only a little that is communicated to you (O men.)
As for Islam saying that Holy spirit is referring to gabriel is a misconception mis interpretation created by the Trinitarians II. Not a single verse in the Quran says that Gabriel is holy spirit. Some had guessed it to be Gabriel but this is an assumption or guess work but Quran says
Quran 53:28 . They follow but a guess and verily guess is no substitute for the truth
Also God in the Quran says 112:4 . And there is none like unto Him.
So if they compare it to a spirit which is in all creatures . they are contradicting the above verse which says that there is nothing like God.
The spirit of truth is said by muslims in John 14 is referring to Prophet Mohammed pbuh and not holy spirit
Jn 14:16. As for spirit of truth . And I will ask the Father and he will give you another Counsellor to be with you for ever 17. the Spirit of truth. The world cannot accept him because it neither sees him nor knows him. But you know him for he lives with you and will be Some early manuscripts and is in you.
To be with you forever means His teachings which are recorded in Hadith translated as tradition it contains deeds and saying of Prophet Mohammed pbuh which a good practicing muslim tries to implicate or apply in his everyday life hence in this way he is with us forever.To be with us forever should not be taken literally as in heb 9:27 is mention ed that everybody will die . If not then it contradicts the statement of jesus in the above verse.
What do you think now Who is confused on the issue of holy spirit ?Islam OR christianitys Trinitarians II i.e the false prophets prophesied by jesus in Mt 24:5.
So dear christian readers
Accept Islam . Profess in ur heart and believe that . That there is only one God and jesus and Mohammed (peace be upon them both) are His messengers.
Quran 17:7 . if you do good you do good for your ownselves and if you do evil (you do it) against yourselves.
Quran 36:17 . My duty is convey the message
Finally Allah knows the best
Allah kasema elimu ya Roho waislamu mmenyimwa wewe nani unajifanya kumzidi Allah
Sio wewe umeandika umefanya C&PSoma nimeandika kitu gani , usiwe na jaziba
Sio wewe umeandika umefanya C&P
Allah kasema waislamu elimu ya Roho kawanyima kabisa nimekuuliza unapo zungumzia Roho unambishia Allah au?
Sio wewe umeandika umefanya C&P
Allah kasema waislamu elimu ya Roho kawanyima kabisa nimekuuliza unapo zungumzia Roho unambishia Allah au?
Sio wewe umeandika umefanya C&P
Allah kasema waislamu elimu ya Roho kawanyima kabisa nimekuuliza unapo zungumzia Roho unambishia Allah au?
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...Nafasi ya Roho Mtakatifu katika Biblia:
Biblia ni sawa na Quran Tukufu kuhusu nafasi ya Roho Mtakatifu. Haikudai kamwe kwamba Roho Mtakatifu ni MUNGU Mwenyezi Mwenyewe. Nitakuandikia baadaye baadhi ya aina za Roho Mtakatifu, au Roho, ambaye MUNGU Mwenyezi Aliumba kwa ajili ya Wanadamu.
Lakini kwa sasa, wacha tuone kile Biblia inasema kuhusu Roho Mtakatifu:
"Unapoituma Roho wako, vinaumbwa, nawe waufanya upya uso wa nchi. (Kutoka Biblia ya NIV, Zaburi 104:30)"
Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Nitakimbilia wapi uso wako? (Kutoka Biblia ya NIV, Zaburi 139:7)
"Unifundishe kuyafanya mapenzi yako, kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema na unitongoze mahali tambarare. (Kutoka Biblia ya NIV, Zaburi 143:10)"
Kufikia sasa, mistari hii inazungumza juu ya Roho kutoka kwa MUNGU Mwenyezi.
Mstari wa kwanza hapo juu, Zaburi 104:30, unakubaliana kikamilifu na Mistari Adhimu hapo juu kuhusu MUNGU Mwenyezi Akiipulizia Roho yake ndani ya matumbo ya mama zetu tukiwa fetusi.
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...Je, hii sasa ina maana kwamba Roho Mtakatifu, katika Biblia, ni sehemu ya MUNGU Mwenyezi?
Sivyo kabisa! Biblia imejaa usemi wa kitamathali.
Nimeandika kwa kina kuthibitisha hili kwa kutumia mifano mingi.
Roho Mtakatifu aliyetajwa hapo juu ni kiumbe kutoka kwa MUNGU Mwenyezi. Kusudi lake ni kuumba roho zetu kama ilivyotajwa katika Zaburi 104:30. Kusudi lingine la Roho Mtakatifu ni kuwaongoza Waumini:
1 Samweli 18:10 "Kesho yake, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamjilia Sauli kwa nguvu, naye alikuwa akitabiri nyumbani mwake, na Daudi akipiga kinubi kama kawaida yake. Sauli alikuwa na mkuki mkononi mwake..." MUNGU Mwenyezi ana roho mbaya? Ni wazi sivyo, ni tamathali tu kama ilivyotajwa hapo juu.
1 Samweli 19:9 "Lakini roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamjilia Sauli, alipokuwa ameketi nyumbani mwake, na mkuki wake mkononi mwake. Daudi alipokuwa akipiga kinubi,..." ROHO NYINGINE MBAYA KUTOKA KWA MUNGU?!
1 Wafalme 22:22 “ ‘Kwa njia gani? BWANA akauliza, ‘Nitatoka na kuwa pepo wa UONGO katika vinywa vya manabii wake wote,’ akasema. “ ‘Utafanikiwa kumshawishi,’ asema BWANA, ‘Nenda ukafanye.
1 Wafalme 22:23 “Basi sasa BWANA ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa wote;
2 Mambo ya Nyakati 18:21 “ ‘Nitakwenda na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,’ akasema, ‘Utafanikiwa kumshawishi,’ asema BWANA. 'Nenda ukaifanye.'
Hesabu 24:2 “Balaamu alipotazama, akawaona Israeli wamepanga kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akaja juu yake.
Waamuzi 3:10 “Roho ya BWANA ikamjilia juu yake, naye akawa mwamuzi wa Israeli, akaenda vitani; BWANA akamtia Kushan-Rishathaimu mfalme wa Shamu mkononi
mikono ya Othnieli, aliyemshinda nguvu.”
Waamuzi 6:34 “Ndipo roho ya BWANA ikamjilia Gideoni, naye akapiga tarumbeta, akawaita Waabiezeri wamfuate.
Waamuzi 11:29 “Roho ya BWANA ikamjilia juu ya Yeftha, akavuka Gileadi na Manase, akapitia Mispa ya Gileadi, na kutoka huko akawaendea Waamoni.
Waamuzi 14:6 “Roho ya BWANA ikamjilia juu yake kwa nguvu, hata akamrarua yule simba kwa mikono yake wazi, kama vile angempasua mwana-mbuzi.
wala baba yake wala mama yake alichokifanya.
Waamuzi 14:19 “Ndipo roho ya BWANA ikamjilia juu yake kwa nguvu, naye akashuka mpaka Ashkeloni, akawapiga watu wao thelathini, akawavua nguo zao, akawapa wale waliokifafanua kitendawili kile, akiwaka hasira kali. , akaenda nyumbani kwa baba yake.
Waamuzi 15:14 “Ikawa alipokaribia Lehi, Wafilisti wakamjia wakipiga kelele. Roho ya BWANA ikamjilia kwa nguvu. Zile kamba mikononi mwake zikawa kama kitani iliyowaka moto, na pingu zikaanguka mikononi mwake.
1 Samweli 10:6 "Roho ya BWANA itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine."
1 Samweli 10:10 "Walipofika Gibea, kundi la manabii lilikutana naye; Roho ya Mungu ikamjilia kwa nguvu, naye akajiunga nao katika kutoa unabii."
1 Samweli 11:6 "Sauli aliposikia maneno yao, Roho wa Mungu akaja juu yake kwa nguvu, naye akawaka hasira."
1 Samweli 16:13 "Basi Samweli akaitwaa pembe ya mafuta, akamtia mafuta mbele ya ndugu zake; na tangu siku hiyo na kuendelea roho ya BWANA ikamjilia Daudi kwa nguvu; kisha Samweli akaenda Rama."
Luka 1:35 "Malaika akajibu, "Roho Mtakatifu atakujilia juu yako (Mariamu), na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli. Kwa hiyo huyo mtakatifu atakayezaliwa ataitwa Mwana wa Mungu.”
Luka 2:25 "Basi palikuwa na mtu huko Yerusalemu, jina lake Simeoni, mwenye haki na mcha Mungu, akiitarajia faraja ya Israeli, na Roho Mtakatifu alikuwa juu yake."
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...Wakristo hamtaki kusikiliza neno la Quran.
Kwa hivyo tunahitaji kitu kutoka ndani ya bibilia, !
Ni nani wanaoitwa ‘roho’?
“Afanyaye malaika kuwa roho, na mtumishi wake kuwa mwali wa moto…”
Psalm 104:4
Malaika wanaitwa ‘Roho’, na malaika mkuu Gabrieli anaitwa ‘Roho Mtakatifu’.
Pia, katika injili, mapepo yanarejelewa kama ‘pepo wabaya’…. Kwa hivyo bado, roho.
Kwa hivyo hiyo inaleta tofauti gani? Ndiyo. Ni hivyo!
“Kumbukeni mambo ya zamani za kale; kwa maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; Mimi ni Mungu, wala hakuna aliye kama mimi,” Isaya 46:9.
Kwa hiyo Mungu anawezaje kuwa ‘Roho’ ikiwa hakuna kama Yeye?
Aliwaumba malaika, mapepo na sisi, ‘roho’ zetu.
Kwa hiyo anawezaje kuwa kama sisi?
Kwa hiyo kulingana na Biblia yenyewe, ‘Mungu hawezi kuwa roho’.
Sasa unaweza kuuliza swali - Je, ni wazo la kipagani?
Jawabu ni Ndiyo, ni wazo la kipagani
Wahindu wanaamini katika ‘Param-atma’. 'Param' inamaanisha 'Wengi, Super, Grand' nk na 'Atma' inamaanisha roho.
Hii Param-atma au Super Spirit inaaminika kuwa mungu, ambaye yuko kila mahali, na kila kitu ndani yake.
Ndiyo maana wanaamini katika kila kitu ni mungu, hivyo abudu chochote.
Pia wanaamini kwamba roho zetu ni sehemu ya roho ya Mungu na unaweza kuwa mmoja na param-atma kupitia kutafakari kwa kina, na hii inaitwa 'Nirban'.
Kwa kweli. Tangu nyakati za kale wapagani waliamini kwamba Mungu ni roho.
Kwa mfano, katika sinema ya ‘The Message’, Mwarabu wa kipagani anasema mbele ya Najjashi huko Abyssinia’ “Hatuabudu umbo, bali roho inayokaa ndani ya umbo”. (Sijui kama kweli alisema hivyo, lakini ni mfano mmoja tu jinsi wapagani waliamini kwamba Mungu ni roho)
Weka huo ushahidi maneno matupu hayatosaidia kitu ukitaka uaminike weka hiyo fatwa hapa NASUBIRIAllah ni physical being na fatwa imeshapitishwa
Fatwa 50774: Allah has no soul or spirit.Weka huo ushahidi maneno matupu hayatosaidia kitu ukitaka uaminike weka hiyo fatwa hapa NASUBIRI
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...MUNGU Mwenyezi si Roho.
Fatwa 50774: Allah has no soul or spirit.
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...
Allah ni physical being
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,...Lete ushahidi wa aya usichanganyike