God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Aliwajulisha ndio maana wakahoji? Wapi kwenye Koran imeandikwa aliwajulisha ?

Kumbuka aliwambia ni sio wakweli ? Na akatunga kisa Cha kijinga kuthibisha sio wakweli

Nitaleta aya zote ili majibu yafuatane na aya, vuta subira
 
Sawa kumbuka alithibisha sio wa kweli
Kwa kutunga majina yeye na akwaauliza kama wanajua alicho Tunga wakasema hawajui

Sasa nani aliwambia binadamu watamwaga damu?

Na Kwa Nini yeye kama ni mungu asiwaache malaika waislamu watunge majina na yeye kuyataja bila kuambiwa?
 
Kwani kuuliza ni ujinga??!

Biblia ni mali ya mtu au mali ya MUNGU hadi upate ujasiri wa kunipiga marufuku kwayo??!
Kuna muislamu mwenzako humu amedai Allah ana umbile

Unakumbuka ule mjadala wa kipidi kile uliokuwa unanipinga kuwa Allah hayupo physically?

Mpaka nikakupa mfano wa kiti cha enzi ambacho kilihusishwa na Allah kuketi lakini ulikuja kupinga kuwa kiti cha enzi ni fumbo sio kitu tangible?

Bila shaka umekumbuka

Sasa sitaki kujadili zaidi kwenye hii mada nilikuwa nakukumbusha tu
 
Mungu wa wakristo ni Roho , ukishajua hilo yote uliyoandika yameshajijibu

Muhammad shida kubwa alikuwa anaiba kazi za wayahudi bila kujua ata majina Yana maana alifanya plagiarism

Jina Israel maana yake ndio hiyo point Yako number 5 Muhammad kaiba jina kapachika kwenye Koran,Leo hii unajiona una mchallenge Muhammad
Kwa mtu siyejua kusoma wala kuandika aliwezaje kuiba kazi za wayahudi? 🤣🤣

Indeed Him being illiterate was part of Allah's plan all along ALLAHU AKBAR!! ☝🏾
 
𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)

𝐁𝐮𝐭 𝐬𝐡𝐨𝐮𝐥𝐝𝐧'𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐞 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐞𝐚𝐝?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. “He who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

𝐑𝐞𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐢𝐭𝐞𝐦𝐬 𝐨𝐧𝐞 𝐛𝐲 𝐨𝐧𝐞. 𝐀𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐲𝐬 𝐢𝐧 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐯𝐞𝐫𝐬𝐞𝐬. 𝐓𝐨 𝐫𝐞𝐚𝐝! 𝐋𝐨𝐨𝐤! 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤! 𝐔𝐬𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐦𝐢𝐧𝐝!View attachment 2457590
Ungetusimulia kidogo juu uumbaji katika koran ndio tungekujulisha kuwa korannni kitabu cha c&p ya mtu asiyeelimika
 
Ni mjinga gani alikwambia Mungu anakula na kulala ?
We kwani yesu alikua hali, au alikua halali, acha jaziba mkuu wewe hujui watu wengu wanamchukua yesu kua mungu
 
Kwa mtu siyejua kusoma wala kuandika aliwezaje kuiba kazi za wayahudi? 🤣🤣

Indeed Him being illiterate was part of Allah's plan all along ALLAHU AKBAR!! ☝🏾
Hakuwa kiziwi , na pia Hadith zenu zinasema wakristo walimuandikia

Ili point Yako iwe na nguvu ilibidi Muhammad awe kiziwi , hajui kosoma na kuandika

Kumbuka zamani fasihi simulizi ndio ilikuwa inaongoza kuliko fasihi andishi
 
Kuna muislamu mwenzako amedai Allah ana umbile

Unakumbuka ule mjadala wa kipidi kile uliokuwa unanipinga kuwa Allah hayupo physically?

Mpaka nikakupa mfano wa kiti cha enzi ambacho kilihusishwa na Allah kuketi lakini ulikuja kupinga kuwa kiti cha enzi ni fumbo sio kitu tangible?

Bila shaka umekumbuka

Sasa sitaki kujadili zaidi kwenye hii mada nilikuwa nakukumbusha tu

Nakumbuka sana mkuu, 🤣🤣

Lakini napenda ujue kwamba mafundisho sahihi ya Dini ya kiisilamu yatabaki jinsi yalivyo hadi kiyama shida inakuja katika uelewa wa mafundisho na hapo ndipo mwanzo wa mgawanyiko katika umma wa kiisilamu, huo ndio mwanzo wa kuja kwa madhehebu ya kiisilamu, Mtukufu mtume Muhammad alifunuliwa hali hiyo na Allah kiasi kwamba alisema katika hadithi moja kwamba; "Itakuja zama hakutabaki katika Uisilamu ila jina tu na hukutabaki katika Qur'an ila maandishi tu maulamaa WAO watakuwa waovu chini ya mwavuli wa mbingu kutoka kwao fitna itaanza na kwao itawarejea". katika hadithi nyingine Mtume (saw) alisema; "Umati wa waisraeli uligawanyika makundi 72 umati wangu utagawanyika makundi 73 na yote hayo yataingia motoni isipokuwa kundi moja". Na katika hadithi nyingine Mtume (saw) amesema; "vipi ninyi pindi atakaposhuka (atakapokuja) Ibn mariamu na awe imamu wenu kutokana nanyi ??"

Hadithi za mtume (saw) ni nyingi zinazohusu hali ya Waisilamu ya hivi sasa lakini faraja ni kwamba Miongoni mwa hayo makundi (madhehebu 73) ya kiisilamu dhehebu moja litaingia peponi ndio dhehebu litakalofuata Dini ya Uisilamu kwa usahihi dhebu hilo litongozwa na "Ibn Mariam" (wa mfano kulingana na Qur'an).

Ibn mariam wa mfano ni nani??, dhehebu hilo ni lipi ?? Kazi ya hilo dhehebu ni ipi??

1--Ibn Mariam ndiye Hadhrat mirza Ghulam Ahmad (as) ametwa ibn Mariam wa mfano kwasababu Ibn Maraim wa kweli ni nabii Isa/Yesu (as) masihi wa Nabii Muda (as), huyu Hadhrat Ahmad (as) ni Masihi wa mtukufu Mtume Muhammad (saw) ndio maana akaitwa Ibn Mariam wa mfano.
2--- kazi ya dhehebu alilolianzisha huyo Ibn mariam wa mfano ni kuwaunganisha Waisilamu wote chini ya bendera ya mafundisho sahihi ya kiisilamu mafundisho aliyokuja nayo mtume mtukufu Muhammad (saw).dhehebu hilo si jingine bali ni JUMUIYA YA WAISILAMU WA AHMADIYYA, (the fastest growing sect in the world, of all religions)
3---kazi ya hilo dhehebu ni kufanya watu wote duniani wawe waisilamu kwa hiyari yao baada ya kupata mafundisho sahihi ya Dini safi ya uisilamu.

Hapo nimeandika kifupi tu ili ujue kwamba huyo Muisilamu mwenzangu anayedai Mungu anayo physical shape ni miongoni mwa Waisilamu wenye uelewa mdogo juu ya dini yetu, yeye hajui kwamba physical shape ni kwa ajili ya material things na Mungu ni spirit, spirit sio physical material sasa iweje Mungu awe na physical shape??
 
Sawa Mkuu acha mi niishie hapa
 
Hakuwa kiziwi , na pia Hadith zenu zinasema wakristo walimuandikia

Ili point Yako iwe na nguvu ilibidi Muhammad awe kiziwi , hajui kosoma na kuandika

Kumbuka zamani fasihi simulizi ndio ilikuwa inaongoza kuliko fasihi andishi

1. Unajua maana ya hadith ? Kingine Ningependa kuzisoma hizo hadith zinazosema wakristo walimuandikia weka angalau moja 😂 yap moja tu mkuu .

2. Hebu weka hiyo real historical event inayoelezea jinsi alivyofundishwa hayo masimulizi ninapenda kuzisoma na mimi nijifunze kitu 🤣🤣🤣

N.b
Ninasubiri majibu hayo
 
Mungu wa wakristo ni Roho , ukishajua hilo yote uliyoandika yameshajijibu

Muhammad shida kubwa alikuwa anaiba kazi za wayahudi bila kujua ata majina Yana maana alifanya plagiarism

Jina Israel maana yake ndio hiyo point Yako number 5 Muhammad kaiba jina kapachika kwenye Koran,Leo hii unajiona una mchallenge Muhammad
Ningependa ulete ushaihidi wa hizo claims zako mkuu hasa hapo kwenye "plagiarism "
 
Mjifunze ata kama mnakaza mafuvu
Jehovah ni spirit
Allah ni physical being
Shida ni pale mtu anakuja anatamka tu mambo bila kuweka na ushahidi hii inageuka kuwa kelele na si majadiliano ninapenda tujadili kwa facts.

Kwanza prove kwamba Allah (the exalted one) ni physical being.
 
Ndio ni physical na fatwa imepitishwa anaesema allah ni spirit jambia lipite kwenye shingo yake
Allah is neither spirit nor physical being he is beyond those puny existances .
Because he created them both.
 
Fatwa 50774: Allah has no soul or spirit.
Hiyo fatwa ni kweli kwa sababu Allah hana nature sawa na alivyoviumba maana ametakasika na sifa ya vyote alivyoviumba sasa ukisema ana roho hapo unamfananisha na viumbe alivyoviumba.

In short you don't give the king his utmost respect and there is only one king and the king is ALLAH (The exalted one).

Ila ningependa kujua ilitolewa na shaikh gani?
 
𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)

𝐁𝐮𝐭 𝐬𝐡𝐨𝐮𝐥𝐝𝐧'𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐞 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐞𝐚𝐝?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. “He who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

𝐑𝐞𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐢𝐭𝐞𝐦𝐬 𝐨𝐧𝐞 𝐛𝐲 𝐨𝐧𝐞. 𝐀𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐲𝐬 𝐢𝐧 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐯𝐞𝐫𝐬𝐞𝐬. 𝐓𝐨 𝐫𝐞𝐚𝐝! 𝐋𝐨𝐨𝐤! 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤! 𝐔𝐬𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐦𝐢𝐧𝐝!View attachment 2457590
Kaka unadhani ukikosoa bibilia takatifu ndio tutakua waislamu!!!!Usitulazimishe cha kuamini kaka
 
Back
Top Bottom