Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,316
- 12,768
Duh yani umeandika mwenyewe ila kusoma hujui.Msome huyu mkristo kasema Muhammad hajui chochote nilichoandika, na kumbuka huyo ni mmoja tu akaona Muhammad anazingua tu akamrudia Yesu wake
Nakuquote ulivyoandika
"muhamad knows nothing BUT what I have written for him"
Hapo umeelewa maana ya hiyo But?? Au english haipandi?
Maana yake ni kuwa Muhamad hajui kingine tofauti na hayo aliyofunuliwa ambayo nikamuandikia kwenye karatasi.
Na ni kweli, Muhamad hakuwa msomi, yote aliyoyajua kuhusu historia nk. Ni yale aliyofunuliwa na Allah tu