Wewe ndie unasema Malaika hafanyi chochote mpaka maagizo ya AllahKuhoji na kuamrishwa mbona ni vitu viwili tofauti, mfano polisi wa cheo cha chini anapohoji jambo hapo anakuwa kakataa amri??
Kuhoji ni kutaka kujua, kama utasoma hizo aya mbele wale malaika baada kufahamishwa na Mungu na kujua walisemaje??!--- tofautisha kati ya kutii amri na kuhoji malaika anao uwezo/sifa ya kuhoji ili ajue lakini hana sifa ya kupinga amri.
Nimekuuliza walipo hoji uumbaji wa Allah nani alituma ni Allah aliwaamriaha wahoji au nani?
Na pia kumbuka Allah aliwambia sio wakweli