God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

๐ˆ๐ฌ ๐ข๐ญ ๐ง๐จ๐ญ ๐š๐ง ๐ข๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ ๐ญ๐จ ๐†๐จ๐ ๐ญ๐จ ๐ซ๐ž๐๐ฎ๐œ๐ž ๐†๐จ๐ ๐ญ๐จ ๐ฆ๐š๐ง?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)

๐๐ฎ๐ญ ๐ฌ๐ก๐จ๐ฎ๐ฅ๐๐ง'๐ญ ๐ญ๐ก๐ž ๐Ÿ๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ๐ข๐ง๐  ๐›๐ž ๐ญ๐ซ๐ฎ๐ž ๐ข๐ง๐ฌ๐ญ๐ž๐š๐?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. โ€œHe who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

๐‘๐ž๐ฏ๐ข๐ž๐ฐ ๐š๐ง๐ ๐œ๐จ๐ฆ๐ฉ๐š๐ซ๐ž ๐ข๐ญ๐ž๐ฆ๐ฌ ๐จ๐ง๐ž ๐›๐ฒ ๐จ๐ง๐ž. ๐€๐ฌ ๐ญ๐ก๐ž ๐๐ฎ๐ซ'๐š๐ง ๐ฌ๐š๐ฒ๐ฌ ๐ข๐ง ๐ฆ๐š๐ง๐ฒ ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฌ๐ž๐ฌ. ๐“๐จ ๐ซ๐ž๐š๐! ๐‹๐จ๐จ๐ค! ๐“๐ก๐ข๐ง๐ค! ๐”๐ฌ๐ž ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐ฆ๐ข๐ง๐!View attachment 2457590
Ukimaliza karibu kitimoto na bia hapa..!!!
 
Kivipi wakati kuna vitu kapatia karekebisha ambavyo vilikosewa kwenye hizo kazi za wayahudi??
Kapatia kwa ku copy
Kurekebisha ni utunzi wake na wala sio marekebisho

Kakuta ndugu zake Yesu wanasema kwamba alikufa msalabani yeye kabadili akasema hakufa na kuleta fiction stories zake
 
Kapatia kwa ku copy
Kutekebisha ni utunzi wake na wala sio marekebisho

Kakuta ndugu zake Yesu wanasema kwamba alikufa msalabani yeye kabadili akasema hakufa na kuleta fiction stories zake
Basi atakuwa ni Mungu, maana mambo aliyorekebisha kwa utunzi wake yamekuja kugundulika hivi karibuni, mengine mwaka juzi kuwa ni ya ukweli.

Yani arekebishe mambo ambayo mwenyewe hakuwepo (Miaka 2000 kabla yake) halafu wanasayansi mwaka juzi ndio wagundue alikuwa sahihi...Huoni muujiza hapo?
 
Kipi alicho rekebisha ? Na kipi kimegundulika?

Mwizi wa kazi za watu hasifiwi , Kwenye kutumia kazi za watu lazima uweke rejea na acknowledgement kwa ulie m copy

Yeye kaiba kazi za wayahudi kafanya zake
 
Na kumbuka waliokuwa wanamsaidia kutunga kitabu chake ni wakristo wapuuzi ila wengine walitubu wakajitoa na Muhammad akawaua
 
Kipi alicho rekebisha ? Na kipi kimegundulika?

Mwizi wa kazi za watu hasifiwi , Kwenye kutumia kazi za watu lazima uweke rejea na acknowledgement kwa ulie m copy

Yeye kaiba kazi za wayahudi kafanya zake
Biblia inasema Kina Yusufu na kina Ibrahim walikutana na Pharaoh..Quran inamtaja kama Mfalme wa Misri.

Wanahistoria wamefuatilia zile heilographs za wamisri na imegundulika kuwa kipindi cha Ibrahim na Yusufu title ya Pharaoh haikuwepo.

Kipindi hiko Walikuwa wanaitwa wafalme.

Pharaoh imeanza kipindi cha Mussa.

Na Quran imeanza kutaja pharaoh kwenye kipindi cha Mussa...Kwahyo Biblia ilikosea
 
Tupe tafsiri ya "ALIF MIMI LAM"
 
Huu ni utunzi wako, unatakiwa uweke rejea ya madai Yako tena apo kwa farao ndio Muhammad kachemka vibaya , alikuwa anajua farao ni jina na hakujua ni cheo
 
Una ushahidi
Huyu mkristo aliandika surah 2 ndefu za kwenye Koran , badae akatubu akarudi kwa Yesu , ila akasema wazi Muhammad hajui chochote nilicho mwandikia , mwisho wa siku akafa kifo Cha kutatanisha ikawa kila akizikwa anafukuliwa,

Ki msingi kipya Cha Muhammad ni mapepo kukiri ni waislamu na mtume wao ni Muhammad na yakasema yanatumwa kwa wakristo yakawadhuru

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet.

Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
 
Huu ni utunzi wako, unatakiwa uweke rejea ya madai Yako tena apo kwa farao ndio Muhammad kachemka vibaya , alikuwa anajua farao ni jina na hakujua ni cheo
Usiwe mvivu kusoma hiyo biblia yako

Then Pharaoh sent and called Joseph, and they quickly brought him out of the pit. And when he had shaved himself and changed his clothes, he came in before Pharaoh. [Genesis 41:14]

So Pharaoh summoned Abram. โ€œWhat have you done to me?โ€ he said. โ€œWhy didnโ€™t you tell me she was your wife? [Genesis 12:18]

Haya cheki sasa Quran ilivyopatia
Kipindi cha Yusufu iliandika King

The king (of Egypt) said: "I do see (in a vision) seven fat cows, whom seven lean ones devour, and seven green ears of corn, and seven (others) withered. O ye chiefs! expound to me my vision, if it be that ye can interpret visions." [Qur'an 12:43]

Kipindi Cha Musa ikaandika Pharaoh

Moses said: "O Pharaoh! I am a messenger from the Lord of the Worlds." [Qur'an 7:104]
 
Farao ni cheo na sio jina la mtu , Koran imekosea Sana imetumia farao kama. Jina la mtu

Ukiweka verse ya Koran na mabano ni usanii unaleta na uzushi wako weka verse bila mabano
 
Huyu mkristo aliandika surah 2 ndefu za kwenye Koran , badae akatubu akarudi kwa Yesu , ila akasema wazi Muhammad hajui chochote nilicho mwandikia , mwisho wa siku akafa kifo Cha kutatanisha ikawa kila akizikwa anafukuliwa,

Ki msingi kipya Cha Muhammad ni mapepo kukiri ni waislamu na mtume wao ni Muhammad na yakasema yanatumwa kwa wakristo yakawadhuru

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
Kuandika aliandika kwenye Karatasi, lakini Muhamad ndiye alimuambia cha kuandika.

Muhamad hakutoa kichwani bali alitoa kwa Jibril aliyetoa kwa Allah

Muhamad hakujua zaidi ya aliyokuwa anaambiwa na Jibril kwahyo ilikuwa ngumu kujua kama akiulizwa swali nje ya mafunuo aliyopewa.
 
Farao ni cheo na sio jina la mtu , Koran imekosea Sana imetumia farao kama. Jina la mtu

Ukiweka verse ya Koran na mabano ni usanii unaleta na uzushi wako weka verse bila mabano
Umeamua tu sasa kubisha makusudi.
Kwanza unatakiwa ukiri biblia ilikosea kumuita farao enzi za Ibrahim na Yusufu.
Quran imemwita mfalme.

Ni sawa na Kusema Alexander the great alikuwa Raisi wa Persia...wakati cheo cha uraisi kimeanza juzi tu.
 
Kuandika aliandika kwenye Karatasi, lakini Muhamad ndiye alimuambia cha kuandika..
Muhamad hakutoa kichwani bali alitoa kwa Jibril aliyetoa kwa Allah.
Msome huyu mkristo kasema Muhammad hajui chochote nilichoandika, na kumbuka huyo ni mmoja tu akaona Muhammad anazingua tu akamrudia Yesu wake
 
Umeamua tu sasa kubisha makusudi.
Kwanza unatakiwa ukiri biblia ilikosea kumuita farao enzi za Ibrahim na Yusufu.
Quran imemwita mfalme.

Ni sawa na Kusema Alexander the great alikuwa Raisi wa Persia...wakati cheo cha uraisi kimeanza juzi tu.
Kwanza ninekwambia ondoa mabano mabano ni nyiongeza ambayo haipo kwenye koran

Farao ni cheo na sio jina kama Muhammad alivyo elewa
Muhammad kaweka farao kama jina la mtu
 
Back
Top Bottom