Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
je kutengeneza kachumbari ya mbilimbi?Unadhani kukukamua nachoro juice si kazi? Una laana si bure
je kutengeneza kachumbari ya mbilimbi?Unadhani kukukamua nachoro juice si kazi? Una laana si bure
ha haaaa...... hujasoma ile degree haitunzi mume?wanaume wa ziku hizi wanashobokea degree while mama zao wameishia la nne na wamewalea vizuri.kwanini wanashindwa kujifunza toka kwa wazazi wao.mi nakosa mume kisa sina degree ujue.
mie nashangaaga ata kule love connect,vigezo vilivyo common ni ajira na elimu,sasa wakioana wasomi kukawa na ushindani humo ndani wanaanza kutafuta nyumba ndogo,na asilimia kubwa za nyumba ndogo hazijasoma wala kuwa na ajira,ndio hapo mwanaume anajisikia kumtawala huyu mwanamke
Hivi siku hizi kidato cha nne hakina vigez vya elimu eenh!!! maana naona katika sentensi hiyo kidato cha nne kimetumika kama mfano kiwango cha elimu aliyonayo mwanamke asiye elimika.
Anyway baada ya utangulizi huo labda nirudi kwenye mada husika kwa mujibu wa swali la msingi.
Mkuu mleta mada kwanza naona umeweka mawazo yako nusu nusu, kama ni uamuzi wa kuishi na mwanamke mwenye kigezo chochote anao yule mwenye uhitaji na mwanamke husika.
Sasa unapotuuliza sisi inakuaje, ni wazi hutapata jibu la aina moja kwa kuwa matakwa yetu hayalingani na vigezo tunavyovitazama kwa mwanamke ni dhahiri havilingani.
una utani eeh, iv unasema hajasoma,
mama yako amesoma hadi la ngapi.
wenzio wanaoa hana hata darasa moja anamwendeleza
hadi anafika chuo, wewe unasema huuuuuuuuuu!
Duh haya maelezo niliyotoa nusu yananipelekesha. naweza ku undo?????
Nikuombe radhi Mamndenyi.... mama yangu aliishia la pili lile la zamani..
ebu peleka ushamba wako huko... Hata kama hana elimu utashindwa hata kumfungulia hata biashara na yeye achakarike kama wanawake wenzake? Mwanaume kukaa na goal keeper ni kupenda kwake mwenyewe. Wanawake tunapenda sana maendeleo wewe mwenye mke goal kper hebu muwezeshe mkeo huone maendeleo jinsi yatakavyokuja kwa kasi ndani ya nyumba.
Baba na Mama hawakusoma, lakini walitulea na kutupa masomo elimu ya juu, Sasa tupo OK.
G/K rules ni mtazamo duni !! Responibo yako ni kumlisha,kumvisha na kumtuza vilivyo.
Kwetu tunamfanya Queen of the house ( mama wa nyumbani) heshima zote kwake.
Asante Mamndenyi nimeshukuru sana..................
Haya bana asante.... mwenzio unaita ushamba wakati mtaji natoa kila mwezi ......
Unadhani kukukamua nachoro juice si kazi? Una laana si bure
Unamaanisha kama huyu mtani??
![]()
ahahhahhaahahhahahhahahahhaahhaahahhahaaa uuuwih!
kha!
mtani nini lakini!?????
Umenichekesha sana mkuu.
Vipi ukiishi na mwanamke asiye na kazi wala elimu say maximum form iv... Inakuwaje?