High Court ya Narok imetoa ruling muhimu ikisema kuwa marriage certificate sio njia pekee ya kuthibitisha haki ya mtu kupata sehemu ya mali iliyopatikana wakati wa relationship. Mahakama ilisema kuwa kuishi pamoja kwa muda mrefu, kulea watoto pamoja, na mchango wa nyumbani vinaweza pia kutumika kuthibitisha haki ya mtu kwa matrimonial property.
Kesi hiyo ilihusu mwanamke aliyekuwa akiomba kutambuliwa kwa mchango wake katika mali zilizopatikana wakati wa uhusiano uliodumu kwa karibu miaka 20. Ingawa hakutoa ushahidi wa direct financial contribution, mahakama ilibaini kuwa mchango wake kupitia childcare, house management, companionship na kuendesha shughuli za familia ulikuwa muhimu katika kujenga utajiri wa familia.
Justice Charles Kariuki alikubaliana kuwa kulikuwa na presumed marriage kutokana na muda ambao wawili hao waliishi pamoja, walivyojitambulisha kama mume na mke, na watoto watatu waliowapata katika kipindi hicho.
Mahakama pia ilisisitiza kuwa Matrimonial Property Act inatambua non-monetary contributions kama kazi za nyumbani, malezi ya watoto na support kwa mwenzi kama mchango halali katika upatikanaji wa mali.
Kutokana na uamuzi huo, mwanamke alipewa asilimia 30 ya mali zinazobishaniwa huku mwanaume akibaki na asilimia 70. Ruling hii imeweka wazi kuwa si pesa pekee zinazohesabika; contribution ya nyumbani nayo ina value mbele ya sheria.