Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,191
- 16,307
ITAKUWA ILE SOLDIER KULE UNGUJA ILISIKIA HII DEADLY SONG
Na hao waliojiua kipindi hiko walikuwa na vitu vyao vitamu mithili ya hiyo kmoto.. 🤔🤔🤔Sasa na wewe umeuweka hili wana jf wajiuwe au..
Siku hizi kuna kitu kinaitwa kitimoto rosti nusu+ndizi rosti 4+pilipili na limao, asikudanganye mtu hyo kitu ni tamu kuliko hyo mapenzi mzee baba.
Hii kitu ingekuwepo henzi hzo huko walikojiua wala wasingejiua .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepo la mauti Hilo .Huo wimbo umenuiziwa kiuchawi umetungwa na majini mataka damu
Tafuta na ule mwingine ambao unashauriwa unapousikikiza usiwe unaendesha au operate machines!.. Kwamba una vibe unajikuta mwili una cool down rapidly (relax).
Uko sahihi kABISA, huyu ndugu alifanya ibada ya aina yake kabla ya kuutunga. Yakamshukia akatunga nayo mashairi, watu kwa ujinga wao wakayaingiza katika himaya zao, wakanywa damu zao na hatimaye yakamla na mhudhuria ibada yao
Uko sahihi kABISA, huyu ndugu alifanya ibada ya aina yake kabla ya kuutunga. Yakamshukia akatunga nayo mashairi, watu kwa ujinga wao wakayaingiza katika himaya zao, wakanywa damu zao na hatimaye yakamla na mhudhuria ibada yao
Ulimwengu wa roho ni ulimwengu halisi, watu wengi hawajui hili. Muziki asili yake sio duniani. Muziki haukuumbwa duniani, asili ya muziki ni mbinguni na uko pale maalum kwa ajili ya sifa na kumwabudu Mungu. Ibilisi alipokiasi kiti cha enzi kule mbinguni, as a choir master, alishuka na utaalumu wake wa uiambaji huku duniani. Na kwa sababu alikuwa najua lengo na muziki ni kumwabudu Mungu aliye Hai, akageuza kibao kwa wale walioamua kumuishia yeye,anawafundisha uimbaji ili wamwabudu yeye kama mungu wao, kwa nyimbo za sifa na devil worship. Na wengi hawajui hili na hawatakiwi kujua wala kuukubali ukweli huu, kwa mujibu wa taratibu za shetani alizoziweka. na akiona wanataka kutubu uovu wao, anachukua hatua za dharura ili wasiione nuru kwa kuwaua haraka. Wenye bahati wanapata nafasi ya kurejea katika nuru, kama vile akina PresleyKweli mkuu
Weightless by Macroni union.Unaitwaje?
Wenzako siku hizi wanajinyonga Kwa kufunga kamba kwenye shina la mti na kujifunga shingoni kisha wanajivuta kama mbuzi anataka kuyafikia majani ya mbali.Mimi mwenyewe nimeusikiliza hapa wana bahati duka la mangi sumu ya Panya imeisha
😂😂😂Mleta mada nipo ktk hali kama aliyokua nayo mtunzi wa hiyo nyimbo(kibuti).
Acha niutafute niusikize nione nini kitatokea.
ILA DHAMBI NI ZAKO MKUU.