Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

Huo wimbo ni roho ya kifo. Miziki mingi ni roho na maneno yake yanaumba unaposikiliza yale unayoyasikia unaya attract kwako na lazima yatakutokea...ujue ama usijue...hiyo ni kanuni kubwa ya law of attraction... Like attracts like
 
Back
Top Bottom