Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

Sasa na wewe umeuweka hili wana jf wajiuwe au..

Siku hizi kuna kitu kinaitwa kitimoto rosti nusu+ndizi rosti 4+pilipili na limao, asikudanganye mtu hyo kitu ni tamu kuliko hyo mapenzi mzee baba.

Hii kitu ingekuwepo henzi hzo huko walikojiua wala wasingejiua .

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao waliojiua kipindi hiko walikuwa na vitu vyao vitamu mithili ya hiyo kmoto.. 🤔🤔🤔
 
wakuu nisipo login Siku za usoni mjue na Mimi ndo ivo tena.. 😨
Kwani nimemaliza kuusoma "wimbo wote "na toka mwaka jana sielewani na kipenzi changu.
 
Ndomana mi nikiwaga na mastress yangu nasikilizaga nyegezi + tetema type of songs.
Maisha matamu buana asikwambie mtu
 
534daee2ea7b27ff66245e16e6d9af458a0bbd2c5404ebf02022756078d594ef.jpg
 
Ninachoona kuwa tofauti ya lugha inafanya kupoza uzito wa haya mashairi we ukitukana kingereza unaona kama vile umesifiwa ila ukitukanwa kiswahili unamind
 
Kweli mkuu
Uko sahihi kABISA, huyu ndugu alifanya ibada ya aina yake kabla ya kuutunga. Yakamshukia akatunga nayo mashairi, watu kwa ujinga wao wakayaingiza katika himaya zao, wakanywa damu zao na hatimaye yakamla na mhudhuria ibada yao
 
Kweli mkuu
Ulimwengu wa roho ni ulimwengu halisi, watu wengi hawajui hili. Muziki asili yake sio duniani. Muziki haukuumbwa duniani, asili ya muziki ni mbinguni na uko pale maalum kwa ajili ya sifa na kumwabudu Mungu. Ibilisi alipokiasi kiti cha enzi kule mbinguni, as a choir master, alishuka na utaalumu wake wa uiambaji huku duniani. Na kwa sababu alikuwa najua lengo na muziki ni kumwabudu Mungu aliye Hai, akageuza kibao kwa wale walioamua kumuishia yeye,anawafundisha uimbaji ili wamwabudu yeye kama mungu wao, kwa nyimbo za sifa na devil worship. Na wengi hawajui hili na hawatakiwi kujua wala kuukubali ukweli huu, kwa mujibu wa taratibu za shetani alizoziweka. na akiona wanataka kutubu uovu wao, anachukua hatua za dharura ili wasiione nuru kwa kuwaua haraka. Wenye bahati wanapata nafasi ya kurejea katika nuru, kama vile akina Presley
 
Ulivyoanza nilidhani ni kale ka nyimbo ka Tom &Jerry... wakiwa na huzuni vinyimbo kama hivi hupigwa...

Naona humo humo ndani pilato katajwa...


Cc: mahondaw
 
Dah story yake baaaabuh kubwa! Maisha ya sasa mwendo kasi kupungua uaminifu na urahisi wa kupatikana jinsia pinzani kumepunguza sana hizi tabia za kukatisha maisha sababu ya Mapenzi. Nimesikiliza bado nipo ngangali tuu japo inahuzunisha
 
George Jones alikuwa ni bingwa wa kuandika sad songs huo wimbo ni kama wake unaoitaa "he stopped loving her today" unajua sometimes una miss ndugu zako waliokufa, una miss aliyekuwa mpenzi wako yaani kuna mda unapenda usikilize wimbo ukutie hudhuni ktk hudhuni yako! Ni kama vile uko msibani kwa kuwa sad inakufanya uwe bora baada ya hapo, wanasema give me a song so that I can real cry!
 
Back
Top Bottom