Girls born in 1990

Girls born in 1990

Kuna siku nilipokea simu ya manzi mmoja ana sauti tamu mithili ya kinanda, alikuwa anamuulizia Arnold. Nikamweleza kistaarabu mimi siitwi Arnold, baadae nikaanza mapambano ya kutengeneza ukaribu bila mafanikio. Hakupokea simu zangu, wala hakujibu meseji zangu.

# wewe binti popote upo, ulinijeruhi hisia zangu japo kwa dkk tano.
Wanaume bwana
 
Hehe nilishasema kuliko kuwa kwenye ndoa ambayo nateseka ni bora niwe hata single mother yaani kuliko kuvumilia manyanyaso ya mume ni bora nivumilie majungu ya jamii tu after all mimi siishi kwa kufuata mitazamo ya jamii and what is jamii by the way?

Ila nashukuru nina ndoa yenye furaha kwa kweli na simlazimishi mtu aniamini maana hata watu wasipoamini bado haibadilishi ukweli wewe kama unanidescribe mimi kupitia posts na comments zangu humu basi una matatizo na unahitaji msaada siyo bure
winks** judging from most of your comments here i doubt if you are in happy marriage! that’s marriage of yours must be hell on earth.. sio kwa comments zinazo asharia frustration na uchungu wa hali ya juu.
 
Mimi sina cha kuwashauri ambacho hamkijui, na kwangu sioni kama ni tatizo ambalo mdada anatakiwa ajilaumu. Sana sana, do your best and hope for the best.

Kwahiyo mnatushauri nini? Maana kuna wengine tuko above 30 na hatuna majamaa ya kueleweka.
Nyie kama zetu mnatushauri tufanyeje ili tuolewe tupunguze hizi stress na frustrations mnazotuona nazo?
Kusema kusikiliza mwanaume ilimradi mwanaume tumeshakataa semeni kingine
 
Kabisa yaani sijui kwanini kuna wanawake wanakubali kudanganyika hivyo daah
Mtu akishakata tamaa ndio basi tena. Lazima ashikwe masikio.
Halafu kwanini mtu uamini anavyoishi mwingine na wewe unatakiwa uishi kama yeye?
Mtu anakwambia hutakiwi kupita 30 hujaolewa, ni wapi waliweka hiyo kanuni? Utakuta wao wenyewe hata mahusiano imara hawana ila wameshupaza shingo watu waolewe.
Wao kuoa wameshindwa wanataka sisi tuolewe na nani sasa?
 
Kama ambavyo wanaume wengi humu huwa mnapiga na kusepa au mnazalisha na kuacha hehe ila mie nilishasema hata wanawake wote JF waseme kuwa wana waume na watoto mimi hainihusu ili mradi ukweli wangu uko pale pale kuwa mimi nina mume na watoto basi sijui wengine wanaodanganya ili kuwafurahisha watu humu
Usijichoshe kuanza kuelezea mtu asiekujua mama.
Yani wanaonaga mtu akiwa na vitu wanavyovitamani wao na hawana basi anabrag au hana anaandika kujifurahisha.
Eti JF wote. Kwahiyo kama mtu ana ndoa asiseme? Ni wivu tuu unawasumbua na wameshazoea kuwaweka kundi fulani wanawake wa JF ndio maana wakiona ambae hayupo huko wanapata hasira na kuanza kutoa comments za chuki
 
Kuna siku nilipokea simu ya manzi mmoja ana sauti tamu mithili ya kinanda, alikuwa anamuulizia Arnold. Nikamweleza kistaarabu mimi siitwi Arnold, baadae nikaanza mapambano ya kutengeneza ukaribu bila mafanikio. Hakupokea simu zangu, wala hakujibu meseji zangu.

# wewe binti popote upo, ulinijeruhi hisia zangu japo kwa dkk tano.

don’t take women too serious!! understand your values bro! umekuumiza nini sasa hapo?
 
Kuolewa sio kuamua.
Ingekua ni kuamua tu si tungeshaamua tuolewe?
Nyie mnataka kila mwanamke akae kwenye ndoa ili awafurahishie nyie wanaume aonekane na yeye ni bora.
Ndoa sio kwa ajili ya nyie muone fulani ana ndoa kumbe hana furaha.
Nyie endeleeni kuoa na sisi tukipata tunaowapenda tutaolewa nao.
Miaka 30 sio mwisho wa maisha wala kutongozwa.

this comment reeks too much bitterness 🤪🤪
 
Hawa wadada wenye 30 plus, wengine ni ndugu zetu na wengine ni watarajiwa wetu, huwa wana stress ni hakuna. Hapa watajifanya wapo bold, ila kiukweli wanaungulia ndani kwa ndani.

Hata sisi wanaume huwa tunapata tabu sana kutongoza manzi wa age hiyo kama ana mtu wake tayari na jamaa anaeleweka eleweka. Hata kama demu zamani alikuwaga ganda la ndizi.

Nishakutana nao kama watatu wana plan za kuzaa tu, maana washakata tamaa.

Kiukweli huo sio umri mzuri kwa mwanamke ambaye hana jamaa anayeeleweka.

unawajua vizuri sana
 
Hehe nilishasema kuliko kuwa kwenye ndoa ambayo nateseka ni bora niwe hata single mother yaani kuliko kuvumilia manyanyaso ya mume ni bora nivumilie majungu ya jamii tu after all mimi siishi kwa kufuata mitazamo ya jamii and what is jamii by the way?

Ila nashukuru nina ndoa yenye furaha kwa kweli na simlazimishi mtu aniamini maana hata watu wasipoamini bado haibadilishi ukweli wewe kama unanidescribe mimi kupitia posts na comments zangu humu basi una matatizo na unahitaji msaada siyo bure

psychology haidanganyi.. na hakuna kiumbe ambacho kiko transparent kama nyie wanawake!

Akiwa na furaha utajua tu
akiwa na uzuni utajua tu
Akiwa na tatizo utajua tu
Akichepuka utajua tu

ahaha... wewe kama uko kwenye mahusiano basi hauna ndoa/mahusiano ya furaha hata kidogo Marianah
 
Usijichoshe kuanza kuelezea mtu asiekujua mama.
Yani wanaonaga mtu akiwa na vitu wanavyovitamani wao na hawana basi anabrag au hana anaandika kujifurahisha.
Eti JF wote. Kwahiyo kama mtu ana ndoa asiseme? Ni wivu tuu unawasumbua na wameshazoea kuwaweka kundi fulani wanawake wa JF ndio maana wakiona ambae hayupo huko wanapata hasira na kuanza kutoa comments za chuki

Similar Discussions

Back
Top Bottom