Girls born in 1990

Girls born in 1990

Nitajuaje kuwa nia yako ni ya kweli?

Swali zuri sana,ukitaka kuupata ukweli nakuonyesha ukweli.

Ukiangalia kwanza kauli na kutoa nafasi ya kuthibotishiwa ukweli ulipo.

Bila kutoa nafasi huwezi kuuona au kuupata ukweli,ndio maana sisi huwa tunasema hivi "Safari moja huanzisha nyingine" japokuwa pia "Katika msafara wa mamba nao Kenge wamo"
 
Enhe safi kabisa sasa hao 'kenge' tutawajuaje katikati ya 'mamba'?

Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!

Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.

Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.

mwanamke anaejielewa yukoje na asiejielewa yukoje?
 
Enhe safi kabisa sasa hao 'kenge' tutawajuaje katikati ya 'mamba'?

Umakini unatakiwa ila kuhusu kujua swali la aliyetoa namba ni uvivu wa kufikiri kwani unaweza kudanganywa na ukakubali na mwisho wa siku ikawa tu.
 
Je nikikutajia huyo mtu ukawa humjui ? Utachukua hatua gani ?

Kisha nikakwambia "Sababu unae ongea nae hapa ndio muhusika mwenyewe na sina nia mbaya na wewe,naomba unisikilize". Je utanipa nafasi ya kunisikiliza ?
Akishanambia alikotoa nimesema nitakuwa huru kuendelea na mazungumzo mengine ya kufahamiana zaidi
 
Umakini unatakiwa ila kuhusu kujua swali la aliyetoa namba ni uvivu wa kufikiri kwani unaweza kudanganywa na ukakubali na mwisho wa siku ikawa tu.
Ukanidanganya kivipi?
 
Kwamba huamini ya kuwa wewe ni mwanamke au unataka nikwambie kwanini nimesema hivyo ?
Nimehitaji ufafanuzi wa hiyo statement yako uliyosema kuwa ndiyo maana nimeumbwa mwanamke mimi najua nimeumbwa mwanamke kwa sababu nyingi sana ila sijajua wewe umesema hivyo kwa sababu gani kuhusiana na hii mada ndiyo maana nikataka ufafanuzi
 
Akishanambia alikotoa nimesema nitakuwa huru kuendelea na mazungumzo mengine ya kufahamiana zaidi

Kama ndio hivyo basi kumjua aliyetoa namba si jambo la msingi bali ni wasi wasi tu wa kibinadamu ndio maana nilikuuliza hivi je ukitajiwa mtu ambae baada ya kutajiwa ukwa humjui utachukua hatua gani ?
 
Nimehitaji ufafanuzi wa hiyo statement yako uliyosema kuwa ndiyo maana nimeumbwa mwanamke mimi najua nimeumbwa mwanamke kwa sababu nyingi sana ila sijajua wewe umesema hivyo kwa sababu gani kuhusiana na hii mada ndiyo maana nikataka ufafanuzi

Safi,nimesema umeumbwa mwanamke sababu ndio stahiki yako na pili mnapenda sana kutumia hisia kuliko akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom