Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,490
Ndiyo hiyo nimewapa!
Haya baby wape namba yako ya kweli sasa.
Haya baby wape namba yako ya kweli sasa.



wewe kaka hebu nitake radhi nikufuatilie kwa lipi? Unawajua wanaofuatiliwa wewe? Oozu
Utakuta ananifuatilia kitambo ndio maana ana kumbu kumbu hizo. Huyu sijui ni spy...hahaha mi hunipati. Hata ukinijua jina hujui pa kuniona na hakuna mahali kuna picha yangu.
Not to that extent bby. It sounds weird.
Or eslse uwe na motives za ziada.
Baby achana na uzi. Hiyo post origionally imekopiwa toka twitter kabla hata haijaletwa hapa. So naielewa vizuri sana
Kwani tunashindana baby ?
You wish that huh??Haka kadada sijui kametumwa? Kanaonekana kana nifatilia kitambo. Mpaka comment? Duh lipo jambo.
Kwanza kaje katueleze hapa kwanini kamebadili ID toka Edelyn kuwa Marianah.
Hell no. With this kind of rudeness. A hell no.
Haki ya nani mwanaume mwenye mwanamke wewe ana kazi ya ziada ya kudeal nawe. Ulivyo kabishi ka busha la mzee wa Tumbatu umegeuza mada kuwa ni kujibu swali la wapi mtu amepata namba yako. Shubaamit maisha kama magumu achana nayo.
Kuliko ningeolewa na mwanaume kama wewe, si bora ningeolewa na shoga tu nijue mojaHebu sema wazi kama unanipenda. Ntaleta mahari kwenu hata kama una 35 nikustiri
Hapana, sio kila kitu. Umenizidi umasikini pia.Hehe did I say I need your approval for me to be a good wife? And who are you by the way? Oops punguza jazba dogo nimekuzidi kila kitu kuanzia umri hadi dhambi so dude have some manners when you quote me! Panic at your own risk!
Tulia basi mtoto Marianah, we mchaga wa wapi?
Agiza K-Vant nakuja. Kuna fuse imekata mahali bi dada
Keep on dreaming kid!Hapana, sio kila kitu. Umenizidi umasikini pia.
There you are boyHata shoga ni mwanaume pia. Ni uamuzi wako tu